Uchaguzi 2020 Nimelazimika kusafiri takriban kilometa 1000 kumzuia Robert Amsterdam na CHADEMA

Uchaguzi 2020 Nimelazimika kusafiri takriban kilometa 1000 kumzuia Robert Amsterdam na CHADEMA

Robert kapamdikiza mgombea ndiye haswa tutamwadhibu kupitia sanduku la kura
Umechelewa robert apigi kura,njia pekee ya kumkomesha robert ni kutenda haki.Kwani robert ndie aliyesomesha namba watz,aliyempiga Ponda na Lisu risasi,aliyebambika watz kesi,aliyemiliki magaidi wa wasiojulikana.
We tembea hata kilometa milioni 10 au Hadi miguu iingie tumboni huwezi badili upepo sisi ndo tumepitia mateso ndo tunajua Kati ya propaganda na Hali halisi
 
Umepoteza fedha na muda wako Lissu atashinda na mtajiunga naye kwani shida yenu ni matumbo yenu tu.
 
Hongera sana mkuu na karibu sana. Kesho tutamkomesha huyu beberu Amsterdam na genge lake la wahuni
 
Bwanyeye Robert na kibaraka wake wataadhibiwa na Watanzania mpaka waombe poo
Kesho tunaenda kumwonyesha mhutu kutoka Burundi, jambazi na mauaji, kuwa hatakiwi huku arudi kwao
 
Bwanyeye Robert na kibaraka wake wataadhibiwa na Watanzania mpaka waombe poo
Kesho hakuna uchaguzi bali uhuni wa vibaka wa CCM dhidi ya wananchi, mtajitangazia ushindi ila moyoni utajua kilichowakuta
 
Ndugu zangu,

Imenilazimu kusafiri kilometa takribani 1000 ili kumuonesha Robert Amsterdam kuwa hawezi kutupangia nani awe Rais wa Tanzania.

Ushindi upo ila tunataka uwe wa kishindo ili akome,apate fundisho yeye na mawakala wake.

Nimeahirisha kufanya biashara ya mamilioni ili kuilinda nchi yangu dhidi ya mabwanyenye.

Umuhimu wa kusafiri kupiga kura ya kizalendo ni kuepuka aibu kwa vizazi vijavyo watanilaumu wakisema "Babu na wenzio mlikuwa wapi hadi mkaruhusu Robert akapandikiza kiongozi?"hapana,sikubali lawama hii kamwe ndio maana nimesafiri kilometa zaidi ya 1000 kuwakomesha wanyonyaji hawa.Kamwe hatutaruhusu yale yaliyotokea mwaka 1884/5 kwenye mkutano wa Berlin yajirudie.

Tanzania ni nchi huru,tutachagua viongozi wetu wenyewe bila kupangiwa.Tanzania kwanza!
ASANTE SANA KWA UZALENDO WAKO. MIMI PIA NIMESAFIRI ZAIDI YA KILOMITA 1,200 ILI NIPATE NAFASI YA KUPIGA KURA; LENGO LIKIWA KUWAFUNDISHA AMSTERDAM, SMITH, TRIPPI NA VIBARAKA WAO KUWA WATANZANIA TUNAJUA MIPANGO YAO OVU YAKUTAKA KUPORA MALI ZETU. WASHINDWE NA KULEGEA. MWENYEZI MUNGU YUKO NASI KATIKA VITA HII NA SINA SHAKA TUTASHINDA KAMA TULIVYOSHINDA GONJWA LA COVID19.
 
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Kesho tunaenda kumwonyesha mhutu kutoka Burundi, jambazi na mauaji, kuwa hatakiwi huku arudi kwao
 
Kuuza nchi haikubaliki
Lissu Hana kashfa yeyeto, ni civilized educated na ana exposure na modern economic atatuletea Utawala wa sheria ndio msingi wa haki, Uhuru na maendeleo. Watz watakuwa salama hawatauliwa, pigwa risasi, bambikwa, dhulumiwa mazao yao pesa zao mali zao. Ataleta ajira, nyongeza za mishahara, bima ya afya ni mzalendo halisi ni mtetezi halisi wa wanyonge na sio mnyongaji wa wanyonge kwaniini tusimpe kura zetu?
 
ASANTE SANA KWA UZALENDO WAKO. MIMI PIA NIMESAFIRI ZAIDI YA KILOMITA 1,200 ILI NIPATE NAFASI YA KUPIGA KURA; LENGO LIKIWA KUWAFUNDISHA AMSTERDAM, SMITH, TRIPPI NA VIBARAKA WAO KUWA WATANZANIA TUNAJUA MIPANGO YAO OVU YAKUTAKA KUPORA MALI ZETU. WASHINDWE NA KULEGEA. MWENYEZI MUNGU YUKO NASI KATIKA VITA HII NA SINA SHAKA TUTASHINDA KAMA TULIVYOSHINDA GONJWA LA COVID19.

Mungu amewaondolea kibali machoni pa Mbingu na duniani Utawala huu dhalimu thus alimuokoa Lisu mlipompiga risasi,na kwa kupigwa kwake taifa linakombolewa kesho.
 
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Nani alikuwa kibali cha kutusemea watanzania, hakuna mropokaji kama magu mpaka anamtogozea mama yake mzazi mabwana, laaana tupu
 
Back
Top Bottom