The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Aisee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We sio msemaji wetu,sipigagi kura ila mwaka huu naenda kupigia TAL.
Mnauwa watu Zanzibar kupata kura za dhamani
Siasa ndo inataka hivyo mama.akitoka yeye si watamuua tutamkosa.
Very truePolisi wameua wanne usiku huu huko Pemba. Hiyo ni kete nyingine ya wakili Amsterdam.
We umetoka 1000 sisi tulio toka 8,500km
Kumpigia Lissu kura we zinde kwwel
Umepanda airtanzania au bus mzeee
Mleta mada kwani wewe nani?
Unawezaje kumzuia huyu mzungu kuchukua hatua za kisheria?
Unaweza kuwalipa wanasheria mahiri kama yeye kumpinga?
Kama unaweza hayo hapo juu wewe ni kidume, lkn kama unaleta blah-blah kafie jalalani!
Wenye biashara ya mamillioni hawasemi.
Maalim seif kahamasisha vijana kuwapiga mawe police halafu yeye na wanawe wanajifungia ndani wakitii sheria bila shurti.
Vijana amkeni kataeni kutumika
Kama ambavyo CCM inawatumia nyie "askari wa akiba na wacheza mdundiko" kuvuruga amani ya Mama TanzaniaHaya, sasa wewe nenda ukaibebe familia ya maalim seif, watoto na wajukuu zake muwahi barabarani
Acheni kutumia watoto wa wenzenu
Tuangalie namna ya kuilinda hii nchi dhidi ya wale wainyemeleao. Laiti mngejua vita iliyopo dhidi ya hii nchi mngemwombea sana Rais wetu maana dhamira yake ni halisi ila mabeberu wamekasirika sana. Kwa namna ambavyo mioyo yenu imejaa chuki kwa sasa hamuwezi kuelewa haya mambo. Ila tujifunze zaidi kwa wenzetu waliotuzunguka, anzeni hapo Libya muone uhalisia.
Kuwa mpole wewe, kuna watu tumesafiri nchi tatu kuja kumpa kura ni yeye TAL
Nimeteseka miaka 5 unataka niendelee kuteseka tu,sasa imetoshaKura za thamani zipo Ccm