Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm. Nafkir unaelekea airport kuelekea AU headquoters kupeleka malamiko kumbe unaenda kijijn kwenu. Na wanaotoka abroad watasemaje?Ndugu zangu,
Imenilazimu kusafiri kilometa takribani 1000 ili kumuonesha Robert Amsterdam kuwa hawezi kutupangia nani awe Rais wa Tanzania.
Ushindi upo ila tunataka uwe wa kishindo ili akome,apate fundisho yeye na mawakala wake.
Nimeahirisha kufanya biashara ya mamilioni ili kuilinda nchi yangu dhidi ya mabwanyenye.
Umuhimu wa kusafiri kupiga kura ya kizalendo ni kuepuka aibu kwa vizazi vijavyo watanilaumu wakisema "Babu na wenzio mlikuwa wapi hadi mkaruhusu Robert akapandikiza kiongozi?"hapana,sikubali lawama hii kamwe ndio maana nimesafiri kilometa zaidi ya 1000 kuwakomesha wanyonyaji hawa.Kamwe hatutaruhusu yale yaliyotokea mwaka 1884/5 kwenye mkutano wa Berlin yajirudie.
Tanzania ni nchi huru,tutachagua viongozi wetu wenyewe bila kupangiwa.Tanzania kwanza!
Nimeteseka miaka 5 unataka niendelee kuteseka tu,sasa imetosha
Ndugu zangu,

Labda ya ungaWenye biashara ya mamillioni hawasemi.

Na itakuwa fundisho kwa vibaraka wengineNdugu zangu,

Usihangaike na wanawake wa mkorogo, wanaopendwa na mkubwa wa veganns!Ni vizuri kujiridhisha na jambo kabla ya kulileta mbele za watu hasa hizi zama za utandawazi.
Haujasikia Maalim amekamatwa na yuko mikononi mwa polisi? Huyo alyejifungia na watoto wake ni yupi unamuongelea?
Tz soon we are going to celebrate landmark referendum victory after voters threw out the constitution left by ccm 1977 regime of dictator Nyerere
Mliwasifia walipokuwa wanarushia polisi mawe kama walivyoelekezwa na mwalimu seifPolisi wameua wanne usiku huu huko Pemba. Hiyo ni kete nyingine ya wakili Amsterdam.
Unamdanganya nani?! Na Kwanini watoto waseme Babu badala ya bibi?! Kura za ccm mwaka huu hazitoshi Wewe kuwa viti maalumu, na wabunge 10 wa rais, anateuwa TAL. utarudi kilomita zote 1000, ukalelee watoto!
Chagua Tundu Lissu kwa Bara, Chagua Maalim Seif kwa Zanzibar
WHOEVER GOES AGAINST THE GOVERNMENT
WILL NEVER RECEIVE ANY REWARD.
DO WHAT YOU UNDERSTAND ITS RESULT
SO THAT ONE DAY YOU DON'T REGRET.
FIGHTING FOR FREEDOM ISN'T EASY TUSK.
Kula ni haki yako ya msingi
Endeleeni na propaganda zenu uchwara. Kwani Amsterdam ndo ameua watu Zanzibar usiku wa leo??? Nyie wauaji, mafedhuli mwisho wenu ni wiki hii ndo mnavyozidi kulazimisha jueni tu ndo mnazidi kujipalia makaa kwenda ICC
Mm. Nafkir unaelekea airport kuelekea AU headquoters kupeleka malamiko kumbe unaenda kijijn kwenu. Na wanaotoka abroad watasemaje?
Ila inahusuNie ya mada