Nimelazwa Muhimbili ila sitaki mje mnione kwa kuogopa wasiojulikana

Nimelazwa Muhimbili ila sitaki mje mnione kwa kuogopa wasiojulikana

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Hapa ndipo tulipofikia kimsingi ingekuwa enzi za JK au BWM ningewaambia ndugu zangu nimelazwa wodi gani kitanda namba ngapi ila kwa hali ilivyo humu humu jf mnipe pole inatosha.

Muhimbili ni kubwa ndio niko hapa moi kibasila mwaisela jakaya kikwete nk.

Walioko hapa tujuane jamani nawatakia mpone haraka Eid mubarak.
 
Hapa ndipo tulipofikia kimsingi ingekuwa enzi za jk au bwm ningewaambia ndugu zangu nimelazwa wodi gani kitanda namba ngapi ila kwa Hali ilivyo humu humu jf mnipe pole inatosha.

Muhimbili ni kubwa ndio Niko hapa moi kibasila mwaisela jakaya kikwete nk.

Walioko hapa tujuane jamani nawatakia mpone haraka Eid mubarak.
Pole! Nakutakia uponaji wa haraka!
 
Kama sio mchangia mada za siasa hawawezi kukupatia shida hata kidogo
Ugua pole
 
Yaani kwa details hzo tu ulizotoa kwa watu makini kama wanakutafuta kikweli kweli hawawezi kukukosa
 
Back
Top Bottom