Nimelazwa Muhimbili ila sitaki mje mnione kwa kuogopa wasiojulikana

Nimelazwa Muhimbili ila sitaki mje mnione kwa kuogopa wasiojulikana

Hapa ndipo tulipofikia kimsingi ingekuwa enzi za jk au bwm ningewaambia ndugu zangu nimelazwa wodi gani kitanda namba ngapi ila kwa Hali ilivyo humu humu jf mnipe pole inatosha.

Muhimbili ni kubwa ndio Niko hapa moi kibasila mwaisela jakaya kikwete nk.

Walioko hapa tujuane jamani nawatakia mpone haraka Eid mubarak.
Pole
 
🤣🤣🤣🤣🤣 sometimes inabiddi mtu ucheke tu🙏🙏
Pole bwana mkubwa
 
Pole sana, ila kuwa na amani maana watu wasiojulikana hawana time na wewe sababu huna affect yoyote kwao. Pia aliyekuwa mnywa damu za watu hayupo mamlakani tena
Mnywa damu za watu? Ni nani unaemkusudia hapa, kuwa wazi mkuu?
Maana mimi inaniuma sana, mtaje tu tumshughurikie maana wengi wamepotea bila hatia!!
 
Back
Top Bottom