Nimelazwa Muhimbili ila sitaki mje mnione kwa kuogopa wasiojulikana

Nimelazwa Muhimbili ila sitaki mje mnione kwa kuogopa wasiojulikana

Kuna wale wajinga anaenda dukani anaulizia "suruali kama ya fulani mnaiuzaje" utasema dukani wanamjua huyo jamaa. Usishangae na hapa kesho ukasikia mtu mapokezi ya Muhimbili anaulizia Superbug amelazwa wodi gani
 
Pole sana mkuu. Upone kabla ya jumatatu. Lakini usihofu aliyekuwa anadhulumu haki ya kuishi watu hana kazi. Naye anajifichaficha kama panya kwenye shimo.
 
Wasiojulikana wakutafute wewe kwa lipi???? Kwa hizi hizi comments zako za kupondea wanawake?
 
Kama hujihusishi na siasa nadhani hakuna shida, tatizo lipo kwa hizi timu mbili za jadi UFIPA VS LUMUMBA!

Upone haraka mkuu!!
 
Hapa ndipo tulipofikia kimsingi ingekuwa enzi za jk au bwm ningewaambia ndugu zangu nimelazwa wodi gani kitanda namba ngapi ila kwa Hali ilivyo humu humu jf mnipe pole inatosha...
Mbona sikioni kitanda cha hospitali! Wewe utakuwa umekwenda gesti kuspendi Iddi na nyumba ndogo.
 
Hapa ndipo tulipofikia kimsingi ingekuwa enzi za jk au bwm ningewaambia ndugu zangu nimelazwa wodi gani kitanda namba ngapi ila kwa Hali ilivyo humu humu jf mnipe pole inatosha.

Muhimbili ni kubwa ndio Niko hapa moi kibasila mwaisela jakaya kikwete nk.

Walioko hapa tujuane jamani nawatakia mpone haraka Eid mubarak.
Kichinjio umekiweka vizuri lakini? Usije ukarudi home ukakuta shemeji yetu amekificha!
 
Back
Top Bottom