Nimeletewa mdada wa kazi "jini"

Nimeletewa mdada wa kazi "jini"

Wasichokijua wanadamu wengi ni kwamba ktk dunia hii tunayoishi tunaishi na mapepo(majini) yaliyojivika mwili wa mwanadamu 100% wanatoka kuzimu wanazaliwa katika familia za kibinadamu wanasoma shule na kukua zaidi hadi wengine kufikia ngazi ya uongozi wa kitaifa ama hata msanii maarufu au mwigizaji n.k
Hawa mapepo wana mission maalumu kutoka kuzimu kuja kumuangamiza mwanadamu,familia,ndoa,taasisi,kundi lika,n.k mission ni nyingi sana.
Lkn lengo kuu ni za kuharibu Hatima ya mtu.
Siwezi sema aliye kwako ni jini moja kwa moja lkn agent anaeletwa kuharibu familia mara nyingi huja kama wadada wa kazi,ama nyumba ndogo,ama rfk aliyefahamiana na mwanao shule au chuo na kujumuika na familia yenu n.k
But kuwafahamu hawa ni mpk pale ukiwa na ufahamu wa kiroho,na akigundua umemgundua huhama haraka au vita hukolezwa mara dufu lkn ukiwa na nguvu z Mungu unashinda.
Mungu akupe ufahamu,uzinzi haukemewi kwa maombi bali unakimbiwa..kama ni kwako unafukuza anaetaka kukufanya uzini.
Kazi ni kwako.
 
Habari za humu JF

KAZI IENDELEE!!

Kiukweli mie sio muandikaji mzuri au mtu wa kuelezea jambo kwa urefu sana tena ki ustadi ila acha tu niandike mtajua namna ya kunielewa.

Nina miezi 6 toka mke wangu alete mdada wa kazi nyumbani baada ya kuona muda wetu wa kufanya au kutoa huduma kwa watoto wetu tukiwa nyumbani haututoshi.
Hivyo mam sapu akaamua kumuagizia jirani yetu aliyekuwa kaenda mkoani kwao kuwa akija amjie na mdada wa kusaidia kazi za pale nyumbani pindi tunapokuwa mahangaikoni.

FUPISHA STORY!!

Ndani ya miezi 6 yote hiyo nimekuwa nikitoka kazini huwa nawaletea vizawadi familia yangu ila kama binadamu huwa sisahau kumletea dada yetu nae zawadi either t-shirt or gauni ama bites bites hizi ili nae asijione mpweke pale home.

Toka huu mwaka umeingia nimeanza kushuhudia vituko vya huyu binti,umri ni miaka 22/23

VITUKO:
Nikiwa natoka asubuhi kwenda kazini (kawaida yake kuja kufunga geti) ,mke wangu yeye huwa anachelewa kutoka ila mie natoka mida ya alfajir sana...nina mkuta huyu binti katoka bila blauzi yani matiti yapo wazi[emoji848] na wala haogopi wala nini anafunga geti then anarudi zake ndani.

Nikiwa natizama mpira sebuleni mida ya usiku atatoka/kupita kuchukua maji kwenye friji ila "Shanga" zake kazitoa kwa nje afu kavaa kitaiti tu.

Kuna siku kanitumia meseji whatsap kuwa anaomba nikirudi nimjie na pedi/mkate kwa wadada[emoji848] sijakaa vizuri naona meseji ya image,kufungua kanitumia picha kunionesha "mbususu" yake ina damu kama ushahid kuwa aongopi ana bleed.

Baada ya masiku kadhaa kanitumia tena meseji kuwa nimepona shem,sijakaa vizuri picha kufungua "mbususu" imekauka kuwa ananiambia kapona[emoji848].

Sa zingine ananitumia meseji shem wahi basi kurudi nimekumic[emoji848].

Kubwa kuliko kuna siku kaniandikia shem nakuonea huruma sana, nahisi dada hakupatii na mwili wako huo...ebu jifanye kama umesahau chumba uje nikuoneshe dunia ya raha ipoje!! Tena nitakupa kitu najua hajawahi dada kukupa hata siku moja!

N.B
Haya yote yanatokea na kutumwa kwenye simu yangu sijawahi kumshirikisha au kumwambia mtu yoyote yule.

Mke wangu naamini nikimwambia hilo fasta atakimbilia kunishutumu na inawezekana kabisa aka conclude kuwa mie nalala na huyo binti.."NAMJUA MKE WANGU NDIO MAAANA NIMEKAA KIMYA MUDA WOTE HUO".

Nilipo sema "Jini" nikimaanisha balaa,shankupe,mzoga,mcharuko ama mapepe.

HUYU MDADA /BINTI HAKIKA MASHAALLAH AMEJUA KUWA BINADAMU KIMWILI HASWAA...NYUMA TURUBAI HAITOSHI KUFUNIKA MZIGO...YANI KIGOLI HASWAAA.

NISAIDIENI JAMANI NIMUEPUKE HUYU BINTI MAANA HII NI KESI.
Hapo nyumbani kwako hakuna nidhamu.Haeleweki baba ni nani na mwenye matiti nje ni yupi!
 
Hivi unavumiliaje kutomwambia mkeo issue za kutumiwa utupu wake wenye damu na ambao hauna. Kama sio chai hii wewe hujitambui.

Kuna vitu mwenye common sense hawezi vi entertain. Wewe kama baba ukisema dada aondoke nani atakukatalia unless una lako jambo.

By the way wanasema hamna msichana wa kazi mgumba.
My wife ni mtu wa kurukia kwenye lawama bila kusubiri mjadala wa kina, naweza nikamwambia akarukia kuwa nimeisha kombeleza sasa ndio namwambia. Itakuwa balaa nzito.
 
Back
Top Bottom