QUALIFIED BIOLOGY TEACHER
Member
- Oct 27, 2024
- 33
- 277
Siku ya Leo nimejikuta nalia kwa furaha, baada ya kupokea simu ya mtu mmoja alijitambulisha kuwa ni meneja wa shule moja ambayo niliwahi kupeleka maombi ya kazi mwaka Jana mwezi wa Tisa.
Meneja yule kanambia kuwa shule yao ipo Tayari Kunipa kazi ya ualimu kwa mshahara wa laki moja na nusu, aisse machozi yalinilenga sikudhani kama mwaka utakuwa na neema.
Naomba mniombee ndugu zangu, majukumu yangu tayaanza siku ya Jumatatu