Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa utajifichaje?
hakuna shule inayomlipa mwalimu mshahara wa hivyoSiku ya Leo nimejikuta nalia kwa furaha, baada ya kupokea simu ya mtu mmoja alijitambulisha kuwa ni meneja wa shule moja ambayo niliwahi kupeleka maombi ya kazi mwaka Jana mwezi wa Tisa.
Meneja yule kanambia kuwa shule yao ipo Tayari Kunipa kazi ya ualimu kwa mshahara wa laki moja na nusu, aisse machozi yalinilenga sikudhani kama mwaka utakuwa na neema.
Naomba mniombee ndugu zangu, majukumu yangu tayaanza siku ya Jumatatu
Numbisa siwezi kuisha bila wewe ur so "wisdomed"😁Hio laki moja na nusu kwa sasa utaiona kubwa ila ukiingia tu kwenye majukumu ni ndogo balaa na itakupa stress zitakazopelekea uwachukie watoto wa watu(wanafunzi) jitahidi usitangaze kwa ndugu,jamaa na marafiki kuwa umepata ajira.
Wanao sema walimu hawana akili wapo sahihi, ndio maana mnadharaulika kutokana na kenge Wachache kama Hawa
Unashindwa kutafuta hata elfu hamsini au laki uanzishe mishe yeyote ndogo mtaani kuliko utumwa wa kulipwa 150k
Hawa ndio wanabaka watoto wetu, wanapiga hovyo shuleni kwa sababu ya depression ya salary maana hili kupata some relief ndio wanafanya hayo maujinga
[emoji53]Siku ya Leo nimejikuta nalia kwa furaha, baada ya kupokea simu ya mtu mmoja alijitambulisha kuwa ni meneja wa shule moja ambayo niliwahi kupeleka maombi ya kazi mwaka Jana mwezi wa Tisa.
Meneja yule kanambia kuwa shule yao ipo Tayari Kunipa kazi ya ualimu kwa mshahara wa laki moja na nusu, aisse machozi yalinilenga sikudhani kama mwaka utakuwa na neema.
Naomba mniombee ndugu zangu, majukumu yangu tayaanza siku ya Jumatatu
Hongera sanaSiku ya Leo nimejikuta nalia kwa furaha, baada ya kupokea simu ya mtu mmoja alijitambulisha kuwa ni meneja wa shule moja ambayo niliwahi kupeleka maombi ya kazi mwaka Jana mwezi wa Tisa.
Meneja yule kanambia kuwa shule yao ipo Tayari Kunipa kazi ya ualimu kwa mshahara wa laki moja na nusu, aisse machozi yalinilenga sikudhani kama mwaka utakuwa na neema.
Naomba mniombee ndugu zangu, majukumu yangu tayaanza siku ya Jumatatu
Umaskini ni kitu kibaya sana. Mwache akauabuduMpwayungu Village njoo umshauri kijana
Walimu mnakuwa wapuuzi hivi ghafla nini kimewakuta?Siku ya Leo nimejikuta nalia kwa furaha, baada ya kupokea simu ya mtu mmoja alijitambulisha kuwa ni meneja wa shule moja ambayo niliwahi kupeleka maombi ya kazi mwaka Jana mwezi wa Tisa.