QUALIFIED BIOLOGY TEACHER
Member
- Oct 27, 2024
- 33
- 277
Hongera sana teacher. Lakini pole mno kwani naona aina fulani ya nyanyaso hapo kwenye mshahara. Au hiyo ni mojawapo ya "silent Interview" ???Siku ya Leo nimejikuta nalia kwa furaha, baada ya kupokea simu ya mtu mmoja alijitambulisha kuwa ni meneja wa shule moja ambayo niliwahi kupeleka maombi ya kazi mwaka Jana mwezi wa Tisa.
Meneja yule kanambia kuwa shule yao ipo Tayari Kunipa kazi ya ualimu kwa mshahara wa laki moja na nusu, aisse machozi yalinilenga sikudhani kama mwaka utakuwa na neema.
Naomba mniombee ndugu zangu, majukumu yangu tayaanza siku ya Jumatatu
Namshukuru Mungu kwa hatua hii kaka, mshahara mkubwa nimekuachia weweHongera sana teacher. Lakini pole mno kwani naona aina fulani ya nyanyaso hapo kwenye mshahara. Au hiyo ni mojawapo ya "silent Interview" ???
Fanya kazi mkuu. Ni rahisi kupata kazi ukiwa tayari kazini kuliko ukiwa mtaani.Namshukuru Mungu kwa hatua hii kaka, mshahara mkubwa nimekuachia wewe
OK. Lakini kesho usijetena kusema eti mshahara hautoshi na blaa blaa nyingi. Kakamate chaki huko. Kila la kheri mkuu.Namshukuru Mungu kwa hatua hii kaka, mshahara mkubwa nimekuachia wewe
Kwani Mkataba wa kazi ukoje?Fanya kazi mkuu. Ni rahisi kupata kazi ukiwa tayari kazini kuliko ukiwa mtaani.
Labda Teacher ana malengo fulani.Hio laki moja na nusu kwa sasa utaiona kubwa ila ukiingia tu kwenye majukumu ni ndogo balaa na itakupa stress zitakazopelekea uwachukie watoto wa watu(wanafunzi) jitahidi usitangaze kwa ndugu,jamaa na marafiki kuwa umepata ajira.
Ni kweli kabisaFanya kazi mkuu. Ni rahisi kupata kazi ukiwa tayari kazini kuliko ukiwa mtaani.
Nilitegemea utakuwa umelia kwa uchungu kutokana na hii dharau ya kiwango cha lami, kumbe ni celebration.. kweli nobody can stop ReggaeSiku ya Leo nimejikuta nalia kwa furaha, baada ya kupokea simu ya mtu mmoja alijitambulisha kuwa ni meneja wa shule moja ambayo niliwahi kupeleka maombi ya kazi mwaka Jana mwezi wa Tisa.
Meneja yule kanambia kuwa shule yao ipo Tayari Kunipa kazi ya ualimu kwa mshahara wa laki moja na nusu, aisse machozi yalinilenga sikudhani kama mwaka utakuwa na neema.
Naomba mniombee ndugu zangu, majukumu yangu tayaanza siku ya Jumatatu