Nimelia kwa furaha baada ya kupata kazi ya Ualimu

Mimi nimekuelewa. Hapo ulipoandika "laki moja na nusu" ni dongo tosha kwa Mpwayungu Village .
 
Oyaa mkuuu welcome back
 
Lucas Mwashambwa
 
Nanukuu: "Usi sikilize maneno ya watu, kwamba hio pesa ni ndogo, we mwenyewe nadhani una jua vyema jinsi vumbi la mtaa lilivyo zito".
Mwl. wa Bios? hajafanya hesabu na kubaini kwamba huo mshahara wa laki moja u'nusu ni Tzs. elfu Tano kwa siku.
Kama Mwl. anaishi na wazazi au ndg. labda anaweza kumudu maisha. Lakini kama anajitegemea, sijui ataishije. Hebu tuone hesabu lake🙁Theoretical):
1. Chai au kifungua kinywa asb. shs. 500/=
2. Chakula Mchana Shs 1,000/=
3. Chakula jioni shs.1,000/=
4. Umeme (tariff 0) kwa siku shs 300/=
5. Kodi ya pango kwa siku (chumba cha 50,000 kwa mwezi)Tzs. 1,500/=
6. Maji ya kunywa (maji chapa Uhai) Lita 1 kwa siku 500/=
7. Nishati(Mkaa wa kupikia fungu moja) shs 200/=
Hadi hapo ukijumlisha Tshs. 5000/= kwa siku zimeisha.
Je, Anakaa karibu na shule ili atembee kwa mguu asilipe nauli?
Je, haogi au kufua nguo ili tuseme hatohitaji sabuni?
Je, Hana simu ili tuseme hatonunua vocha?
Kwa maoni yangu, Naona kwa mshahara huo; mwl. atadhalilika mahali.
 
Hivi wacheza mpira hasa wa simba na yanga huwa wamo humu jf
 
Nyie walimu njaa zinawafanya mzidi kudharaulika
 
Daaaah....
"we listen but we don't judge"...
 
Mungu akutangulie na usisahau kutafuta fursa zaidi! Hongera sana.
 
A A FEW MOMENTS LATER,,,,
 
Hio laki moja na nusu kwa sasa utaiona kubwa ila ukiingia tu kwenye majukumu ni ndogo balaa na itakupa stress zitakazopelekea uwachukie watoto wa watu(wanafunzi) jitahidi usitangaze kwa ndugu,jamaa na marafiki kuwa umepata ajira.
Sasa utajifichaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…