Nimelia kwa furaha baada ya kupata kazi ya Ualimu

Hongera sana.jitahidi baada ya mwaka mmoja ujenge ghorofa na uwe na usafiri wako.Maana kazi ya kukuingizia kipato umepata
 
hakuna shule inayomlipa mwalimu mshahara wa hivyo
 
Dah ? 150? Unashangilia ?? Nimeandika nimefuta !
 
Naona mnamsimamga tu; "mshahara mdogo" kila mtu. Mbona hamumpi mbinu ni nini afanye? Ashawalilia sana humu, hiyo mishahara mikubwa wala hamkumpa!!!!
 
Hio laki moja na nusu kwa sasa utaiona kubwa ila ukiingia tu kwenye majukumu ni ndogo balaa na itakupa stress zitakazopelekea uwachukie watoto wa watu(wanafunzi) jitahidi usitangaze kwa ndugu,jamaa na marafiki kuwa umepata ajira.
Numbisa siwezi kuisha bila wewe ur so "wisdomed"😁
 
Wanao sema walimu hawana akili wapo sahihi, ndio maana mnadharaulika kutokana na kenge Wachache kama Hawa

Unashindwa kutafuta hata elfu hamsini au laki uanzishe mishe yeyote ndogo mtaani kuliko utumwa wa kulipwa 150k

Hawa ndio wanabaka watoto wetu, wanapiga hovyo shuleni kwa sababu ya depression ya salary maana hili kupata some relief ndio wanafanya hayo maujinga
 
Sasa mkuu ww nae ni lipumbafu likubwa kwanini usimwelekeze kijana namna ya kupata hiyo hela basi kama vipi umpe wewe mtaji mzee why ku-condemn tu bila kumtoa mtu kwenye matrix
 
[emoji53]
 
Nenda iringa kwenye shule za gorv kujitolea wanalipa Hela kama hiyo
 
Hongera sana
 
Mungu akusaidie
Ila piga na tuition za kutosha
Sorry lakini hii heading inafanana na jamaa mmoja mpaka anakera na kuna masiku sijamsikia nikadhani ni yule ila leo kaamua kulia yeye 😄
 
Wanasema hujafa hujaumbika lakini mimi huyo boss wako ningemwambia kama hakuna namna ya mshahara kuwa juu basi apunguze dharau kwa watu
 
Walimu mnakuwa wapuuzi hivi ghafla nini kimewakuta?
 
Kwa mtu ambae ameamua kuyafanya maisha yake kuwa fixed...mtu asietaka mambo mengi maishani...wala makuu... ameamua kumuachia mungu mambo yoote ya duniani na vyote vilivyomo...

Ualimu ni mahala sahihi kabisa kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…