Nimelia sana na bado ninalia sana kwa kifo cha Esther Mahawe. Huyu Mama ameniuma sanaa

2013 niliwahi kufanya kazi shuleni kwake INTEL (Arusha)kule chini Muriet/Mkonoo acha ile ya Sakina kipindi hicho anamalizia malizia kusomea mambo ya uongozi kiujumla huyu sista alikuwa mchapakazi na asiyependa uvivu na uzembe

Muirak wa watu alikuwa muwazi sana na ukizingatia alikuwa na itikadi za kizungu sana hili ni pigo kubwa sana kwa INTEL SCHOOLS maana yule mume wake walikuwa kama wamegawana majukumu mume wake alijihusisha zaidi na utalii
 
Inaelekea Luca una machozi mengi na ya karibu sana
 
Unafirwa wewe
 
Una HAKIKA hakuhusika kuhukumu uchaguzi wa mitaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…