Nimeligundua Leo: Mademu wa Arusha city hawatofautiani, na wa Mtwara kwetu.

Nimeligundua Leo: Mademu wa Arusha city hawatofautiani, na wa Mtwara kwetu.

wepesi kuliko wewe? usifanye generalization basi, sema "BAADHI" usitushushie heshima bana ambao n wagumu khaa!!

oh! bas nina bahat mbaya, sijakutana na mgumu! unalosema linawezekana pia..karibu Mtwara wagumu pia wapo
 
kiwatengu labla ulipita mitaa ya Mrina kisha ukaondoka ukaja Mtaa wa Goliondo karibu na Airtell kisha ukashusha Masai Camp!! Zote hizo ni anga za malaya, sasa hujasema ulipita wapi mpaka ukaja na conclusion yako.

Nijuavyo Mtwara rate ya umalaya ipo chini kuliko hapa Arusha au D'sm kutokana na majiji hayo mawili kuendelea kiasi cha kuweza kupata huduma ya malaya kama vile unavyokwenda dukani kununua kiroba tofauti na Mtwara.

Karibu Arusha ikurushe rushe arifuuuuuu tehe tehe.
 
Last edited by a moderator:
Kuna mshikaji mmoja, alinitembelea Mtwara, basi ile kujimix kitaa siku mbili tatu karudi na ma concept kibao ooh mademu wa mtwara simple sana et vers 1 tu anaingia kingi.
Asijisifu sana leo na mimi nimeprove hapa A.town! wa hapa ni wepesI zaidi!....

Arusha tena!...demuz za Ar town hazina longo longo ila usipokuwa makini utabakiwa na chupi tu..umekombwa kila kitu! Mtwara tena! Totoz za huko hazijui kusema no... hazijui kutanguliza maslahi ya kipesa, zinasubiri kupewa anything after mmhh... na ukifanya 'permanents...zitataka utoe huduma kwa jamaa, ndugu hadi mende na panya walioko ktk nyumba za familia na koo zao! hee..hee sorry..somebody there, kama nimekwaza mtu hapa!
hata hivyo siku hizi totoz nyepeeeesi kila pande ya dunia ilimradi mdomo usiwe zege!
 
Hahahaha karibu sana mkuu kiwatengu hapa kwetu aise
Huku hakuna mambo ya gesi bana
mambo ya huku ni ya kichalii aise

Mkuu nilitaka kupiga picha tukio moja, washkaji wakamind sana!!
 
Last edited by a moderator:
kama umepata wepes but ni expensive sana,uliwamudu, au ndo ulibakiwa na ngozi ya mwili tu... lol
 
ngoja kwanza, umepita mitaa ipi?

nimepita town kati, sokon kule! mi mtego wangu ulinasia pale bank NMB Market branch, du! mdada kaingia kingi kirahisi sana! ila nimependa sana lunch tuliyopata pale a new studium bar!
 
wangechukua na hicho kisimu chako au kikamera chako
watu wa hapa hawana mchezo aise

Kamanda! mi mwenyewe hard copy! sema ndiyo hivyo yani..kiumbe yeyote angeshika device yangu! 2ngetengeneza tukio jingine pale!
 
Kamanda! mi mwenyewe hard copy! sema ndiyo hivyo yani..kiumbe yeyote angeshika device yangu! 2ngetengeneza tukio jingine pale!

Mkuu angalia sana anga za machalii wa Arusha sio mchezo
Hata kama wewe ni hard copy ila wakikuamulia mkuu utaacha kila kitu
Usiingie tuu kwenye anga zao mkuu kiwatengu
 
Last edited by a moderator:
kama umepata wepes but ni expensive sana,uliwamudu, au ndo ulibakiwa na ngozi ya mwili tu... lol

Aisee! ameline..basi 2 hujameet na mimi! mi sio mlaini, kama akili ninazo! kuninanga sio rahisi hata kidogo!
 
nimepita town kati, sokon kule! mi mtego wangu ulinasia pale bank NMB Market branch, du! mdada kaingia kingi kirahisi sana! ila nimependa sana lunch tuliyopata pale a new studium bar!

owk kuna baadhi ya maeneo kuna machangu hata mchana so sishangai kwa hilo,. mbona hujasema after lunch then...lol
 
Aisee! ameline..basi 2 hujameet na mimi! mi sio mlaini, kama akili ninazo! kuninanga sio rahisi hata kidogo!

owk hongera kwa hilo,. ila ukija arusha tena uwe makini wadada wengi wa huko ni sister dooz and wanapenda vya hali ya juu.,
 
Mkuu angalia sana anga za machali wa Arusha sio mchezo
Hata kama wewe n hard copy ila wakikuamulia mkuu utaacha kila kitu
Usiingie tuu kwenye anga zao mkuu kiwatengu

Niko makini kamanda
 
Last edited by a moderator:
owk hongera kwa hilo,. ila ukija arusha tena uwe makini wadada wengi wa huko ni sister dooz and wanapenda vya hali ya juu.,

Najua..na anaweza akajidai kuanza kutoa huduma yy! ha ha ha! i'm a rl soldier in all aspects
 
Kuna mshikaji mmoja, alinitembelea Mtwara, basi ile kujimix kitaa siku mbili tatu karudi na ma concept kibao ooh mademu wa mtwara simple sana et vers 1 tu anaingia kingi.
Asijisifu sana leo na mimi nimeprove hapa A.town! wa hapa ni wepesI zaidi!....
Mkuu utakua umeng'oa yale madude yetu yanayojipangaga mitaa fulani.....
Usingetupia hata verse ungeuliza tu "shi ngapi??"
 
kiwatengu;

Ilikuwaje mpaka hayo yote yakamsibu?

Hata picha haujapata kuchukua?

Afu mkuu, leo kuna tukio moja nimelishuhudia pale NMB Market branch, kuna jamaa kapigwa sana raia, sema polisi wakawahi kum'beba. aisee ilikuwa noma!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom