Nimeligundua Leo: Mademu wa Arusha city hawatofautiani, na wa Mtwara kwetu.

Nimeligundua Leo: Mademu wa Arusha city hawatofautiani, na wa Mtwara kwetu.

mmmmmmh!kwa hiyo unakubaliana na heading yake........mtu akifika bei basi

sijakubaliana nae hata kidogo,ye kakutana na changu labda wale wenzetu muda wote wapo kibusness zaidi,ila wadada wa kawaida na heshima zao atamaliza soli na bado atatoka mtupu hata busu hapati
 
Next time ya wakati mwingine ukija hapana toa siri za watu! Ingekuwa ivo kila tuendako tunatoa siri pangeenea kweli hapa jamvini? BADILIKA, KWANI UDHAIFU WA MMOJA HAUMAANISHI WOTE NDIVYO WALIVYO. Nimemaliza!

Bora umwambie,mgeni siri hana looooo!
 
sijakubaliana nae hata kidogo,ye kakutana na changu labda wale wenzetu muda wote wapo kibusness zaidi,ila wadada wa kawaida na heshima zao atamaliza soli na bado atatoka mtupu hata busu hapati
lakini si mumesema wakina nyie wa bei kali
weeee!tukalie mbali baba,utakua umenasa kwa changu bila shaka,kina cc wa bei ghali
 
wa bei ghali min c wa rahisi kama alivyo mention bro kaka,we nae usijifanye huelewi loooo
si unajua wengine bila kubisha kidogo hatujajisikia raha.....just kuchangamsha kijiwe......wasalimie pande za njiro,unga, moshono,kijenge,majengo....n.k...popote ulipo
 
si unajua wengine bila kubisha kidogo hatujajisikia raha.....just kuchangamsha kijiwe......wasalimie pande za njiro,unga, moshono,kijenge,majengo....n.k...popote ulipo

passion lady, she cant be as she say..
 
si unajua wengine bila kubisha kidogo hatujajisikia raha.....just kuchangamsha kijiwe......wasalimie pande za njiro,unga, moshono,kijenge,majengo....n.k...popote ulipo

zimefika usijali
 
We kiwatengu ww,unanitaka ubaya hivi hivi,mpalu hebu mwambie mimi ni wa aina gani alaaaa!staki maneno,kwanza mi mchumba wa mtu!

Passion! strongnes yako itadepend na person on the spot! i can be mo strong ujue!..
 
kwani uyo Loya ni hakimu mkazi au mkuu wa kituo au ni mkuu wa gereza

naona na ww unaanza kunibore na vijiswali vyako,nimetoka kula saa hizi staki shida MPALU, au una njaa maana swali lako gumu kweli pia kama umeuliza kwa jazba!
 
Back
Top Bottom