Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni huyu passion lady anafikiria kuolewa wakati hajakaguliwa! Ndio najaribu kumwelewesha kuwa hakunaga kitu kama hicho!
kipipi upo kweny kamati nenda kaangalie nafac yako,na wewe Filipoooooo?y umeniganda hivyo jamani hebu niache nikaanzishe familia yangu!
Haya ndio matatizo niliyokuwa nayasema! Huyo passion lady hajakaguliwa ndio maana anajiendea tu. Nimemwambia Ruttashobolwa nae anatetea na nina wasiwasi wamemuhonga Baba V maana nae haeleweki licha ya Asprin kukubaliana na mimi! Ndio maana ndoa nyingi zinavunjika! Dam it!
Unahitaji kuandaliwa na kukaguliwa ni sehemu ya maandalizi! Mbona unakuwa mgumu kwenye mambo madogo hivyo!?
Ruhusu akaguliwe walau externally..kwa ndani utakagua mwenyewe.
Unahitaji kuandaliwa na kukaguliwa ni sehemu ya maandalizi! Mbona unakuwa mgumu kwenye mambo madogo hivyo!?
Nimesema hana mamlaka ya kumkagua sijasema hasikaguliwe!
wapo wengi huby wanaotuonea gere humu ila yatapita tu,kukaguliwa kitu gani bwana!
Kuna mshikaji mmoja, alinitembelea Mtwara, basi ile kujimix kitaa siku mbili tatu karudi na ma concept kibao ooh mademu wa mtwara simple sana et vers 1 tu anaingia kingi.
Asijisifu sana leo na mimi nimeprove hapa A.town! wa hapa ni wepesI zaidi!....
Nakubaliana nawe, maana ni reality.We umeenda kutembea na waosha vyombo wa mama ntilie unaita mademu wa arusha we siuuliona swagga zao tu ,mtu wa mtwara hawezi kula demu mkali kamwe kama wa AR
Reality huwezi kuwa nayo wewe! na usikubaliane na nivea kirahisi tu..kuna uwezekano wewe na yeye hamutambui demu mkali yukoje..labda ungetoa maelezo kwanza, kabla hujakubali..
Ndio ni njiro ila bado siamini Kama alipata dem wa ukweli....Kwa Msola siyo Njiro? kuna comment nimeitoa abt kwa msola..
ngoja tupange mkakati wa kukaguliwa,marejesho awepo na my huby ruttashobolwa awepo thn ndio unikague kuvunja mzizi wa fitina,maana wewe mtu loooo!
poa! siwezi kukulazimisha uamini..kwa taarifa yako niliyempata kirahisi ni huyo wa kwa msola..what gud for me, she pay everythng on our appointment..