Nimeligundua Leo: Mademu wa Arusha city hawatofautiani, na wa Mtwara kwetu.

Nimeligundua Leo: Mademu wa Arusha city hawatofautiani, na wa Mtwara kwetu.

We umeenda kutembea na waosha vyombo wa mama ntilie unaita mademu wa arusha we siuuliona swagga zao tu ,mtu wa mtwara hawezi kula demu mkali kamwe kama wa AR
 
We umeenda kutembea na waosha vyombo wa mama ntilie unaita mademu wa arusha we siuuliona swagga zao tu ,mtu wa mtwara hawezi kula demu mkali kamwe kama wa AR

No hawapo kama wewe! hata hao uliowataja ni part ya waarusha
 
Ni huyu passion lady anafikiria kuolewa wakati hajakaguliwa! Ndio najaribu kumwelewesha kuwa hakunaga kitu kama hicho!

kipipi upo kweny kamati nenda kaangalie nafac yako,na wewe Filipoooooo?y umeniganda hivyo jamani hebu niache nikaanzishe familia yangu!
 
kipipi upo kweny kamati nenda kaangalie nafac yako,na wewe Filipoooooo?y umeniganda hivyo jamani hebu niache nikaanzishe familia yangu!

Unahitaji kuandaliwa na kukaguliwa ni sehemu ya maandalizi! Mbona unakuwa mgumu kwenye mambo madogo hivyo!?
 
Huna mamlaka ya kumkagua akanana wangu!

Haya ndio matatizo niliyokuwa nayasema! Huyo passion lady hajakaguliwa ndio maana anajiendea tu. Nimemwambia Ruttashobolwa nae anatetea na nina wasiwasi wamemuhonga Baba V maana nae haeleweki licha ya Asprin kukubaliana na mimi! Ndio maana ndoa nyingi zinavunjika! Dam it!
 
Last edited by a moderator:
Unahitaji kuandaliwa na kukaguliwa ni sehemu ya maandalizi! Mbona unakuwa mgumu kwenye mambo madogo hivyo!?

ngoja tupange mkakati wa kukaguliwa,marejesho awepo na my huby ruttashobolwa awepo thn ndio unikague kuvunja mzizi wa fitina,maana wewe mtu loooo!
 
Kuna mshikaji mmoja, alinitembelea Mtwara, basi ile kujimix kitaa siku mbili tatu karudi na ma concept kibao ooh mademu wa mtwara simple sana et vers 1 tu anaingia kingi.
Asijisifu sana leo na mimi nimeprove hapa A.town! wa hapa ni wepesI zaidi!....

Tujuze, umefikisha wangapi ndio ukaona ni wepesi zaidi ya wa Ntwara?
 
We umeenda kutembea na waosha vyombo wa mama ntilie unaita mademu wa arusha we siuuliona swagga zao tu ,mtu wa mtwara hawezi kula demu mkali kamwe kama wa AR
Nakubaliana nawe, maana ni reality.
 
Nakubaliana nawe, maana ni reality.

Reality huwezi kuwa nayo wewe! na usikubaliane na nivea kirahisi tu..kuna uwezekano wewe na yeye hamutambui demu mkali yukoje..labda ungetoa maelezo kwanza, kabla hujakubali..
 
Reality huwezi kuwa nayo wewe! na usikubaliane na nivea kirahisi tu..kuna uwezekano wewe na yeye hamutambui demu mkali yukoje..labda ungetoa maelezo kwanza, kabla hujakubali..

Demu Mkali ni Yule ambaye ni mzuri hasa halafu anaelimu ya PHD na Kazi Nzuri na zaidi ni mnyenyekevu na Ana maringo lakini atoi hovyo jiko,voda au tigo. Na Arusha madem hao ukiwapata anijulishe.utaishia kupata wa mianzini au mbauda uswahilini sio njiro.
 
Demu Mkali ni Yule ambaye ni mzuri hasa halafu anaelimu ya PHD na Kazi Nzuri na zaidi ni mnyenyekevu na Ana maringo lakini atoi hovyo jiko,voda au tigo.

Kwa Msola siyo Njiro? kuna comment nimeitoa abt kwa msola..
 
Ndio ni njiro ila bado siamini Kama alipata dem wa ukweli....

poa! siwezi kukulazimisha uamini..kwa taarifa yako niliyempata kirahisi ni huyo wa kwa msola..what gud for me, she pay everythng on our appointment..
 
ngoja tupange mkakati wa kukaguliwa,marejesho awepo na my huby ruttashobolwa awepo thn ndio unikague kuvunja mzizi wa fitina,maana wewe mtu loooo!

Hatimae umekuja vizuri! Come this way nikufanyie the needful tumalize huu ubishi. Good girl!?
 
poa! siwezi kukulazimisha uamini..kwa taarifa yako niliyempata kirahisi ni huyo wa kwa msola..what gud for me, she pay everythng on our appointment..

On your dream...Haya sasa sijui umefaidikaje...kwa taharifa yako KWA MSOLWA wanaishi wageni tu tena wa Kabila lako....Ndio maana ikawa rahisi munooo.
 
Back
Top Bottom