Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo wewe!! wamakonde sio wengi kwa msola. unadanganya!
Hatimae umekuja vizuri! Come this way nikufanyie the needful tumalize huu ubishi. Good girl!?
On your dream...Haya sasa sijui umefaidikaje...kwa taharifa yako KWA MSOLWA wanaishi wageni tu tena wa Kabila lako....Ndio maana ikawa rahisi munooo.
Kuna mshikaji mmoja, alinitembelea Mtwara, basi ile kujimix kitaa siku mbili tatu karudi na ma concept kibao ooh mademu wa mtwara simple sana et vers 1 tu anaingia kingi.
Asijisifu sana leo na mimi nimeprove hapa A.town! wa hapa ni wepesI zaidi!....
Mbona hata wewe unaonyesha ni mwepesi?????
Hahahaha...ndo nshahamia jumla sasashemeji hii kitu ni ya zamani...
naamini ulikuwa huja hamia arusha bado
teh teh teh! young Master...habari ya wewe?