Mungu na akufundishe, aziniye na mwanamke hana akili kabisa, utakula ulichopanda. hata kama huyo mmeo au mkeo hatakuadhibu, adhabu ya Mungu iko juu yako, lazima uadhibiwe. labda uokoke kwa kutubu dhambi hiyo na kuiacha kabisa. zinaa ni dhambi inayokula nafsi ya mtu na kupoteza hata thamani ya mtu,baraka etc. ni kwasababu hata Mungu anasema, pamoja na kwamba dhambi zingine huwa zinafanyika rohoni, zinaa inafanyika mwilini kabisa kwasababu inagusa na kuunganisha miili ya watu wawili na kuwa mwili mmoja. hivyo hata matatizo mtagawana, kama uyo uliyelala naye alikuwa na mapepo hamsini, atakugawia kadhaa, kama ukilala na wenzi zaidi, the more you increase the number, the more demons you get, na laana hiyo hata isipokutafuna wewe itakuja kuwatafuna watoto wako hadi kizazi cha nne. ENYI WANADAMU, MWOGOPENI MUNGU, kama hamuwaogopi wanadamu ambao hawawaoni, mkeo mmeo ambaye hakuoni, basi mwogope Mungu, oneni aibu kwa Mungu kwasababu anawaona tangia mnapotongozana hadi mnapofanya uchafu huo...Mungu anawaangalia tu...na anawahurumia ndio maana hajawaangamiza. Umejikita kwa shetani, shetani kazi yake ni kuua kuchinja na kuharibu...hivyo uwe tayari kwa lolote litakalo tokea kwako, iwe ukimwi, kaswende, kupigwa mapanga na wanaoibiwa, kufanywa chochte kila, kuingiliwa na mapepo ya kila aina...etc...LAKINI KAMA UKITUBU DHAMBI KWA KUMAANISHA KUZIACHA, ukamkumbuka Mungu wako, atakusamehe na kusahau kabisa...only kama unatubu kwa kumanaisha kuziacha...