Nimelima nyanya heka 1 nimepata faida ya Tsh. Milioni 9 ndani ya miezi minne

Ewe msomaji wa uzi huu, epuka kilimo cha aina yoyote nchi hii. Kilimo cha nyanya ndiyo usijaribu kabisa.

Waliokulia kwenye maeneo ya kilimo cha nyanya wana msemo wao usemao "nyanya, nyanyasa".
 
Kazi nzuri.

Umesahau jambo Moja kwamba tumezaliwa tofauti , wengine mna Ile spirit ya upambanaji by nature na wengine wanajifunza kwenu na wengine wao huridhika tuu.

Sasa maisha Yako hivyo haitakuja kutokea watu wakafanana ,ndio sababu Matajiri na Viongozi Huwa wachache.
 
Uhakika mkuu. Umenena vyema
 
Sorry, Naombeni site ya kudownload full movie free za makampuni ya movie kama universal pictures
 
Hili swala mimi linanishangaza mno kuna dogo alilima nyanya miche 7000 akapiga milion 11 sasa chakushangaza anadai halimi nyanya anataka kulima tikiti
 
Ewe msomaji wa uzi huu, epuka kilimo cha aina yoyote nchi hii. Kilimo cha nyanya ndiyo usijaribu kabisa.

Waliokulia kwenye maeneo ya kilimo cha nyanya wana msemo wao usemao "nyanya, nyanyasa".
Endelea hivyohivyo kuongea ujinga wako wakati watu wanapiga pesa
 
Muongo huyuu limeni lakin msifuate maneno Yake et wanyarwanda..!! Sijui mil 15
 
achana na nyanya.
Mkuu Mimi NI OP vipi kazi za excavator huko?
 
Eneo lilipo shamba ni wapi? Na gharama za kukodi kwa eka ni zipi? Pia malipo ya vijana wa kazi ni yapi? Asante.
 
Kilimo cha nyanya kinalipa ukikipatia ni kama matikiti😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…