Nimelima nyanya heka 1 nimepata faida ya Tsh. Milioni 9 ndani ya miezi minne

Nina gunia 60 za mahindi !
Ninaenda kuvuna maharage wiki ijayo !

Yote nauza!
Serikali imetangaza 700 kg1 ,ila wanunuzi wanawakandamiza wakulima wenye shida,wananunua Kwa 450 kg, this is not fair
Ndo maana mi nimeweka!
 
npo kakola nataka nikodi shamba karbu na ziwa victoria nisaidie kaka namba nmetoa 0769229176
 
Hujaelezea kilimo chenyewe kwa ujumla,ungekuwa umefanya jambo bora sana Mkuu
 
Mtoa mada anachangamsha genge tu, Hivi unakifahamu kilimo cha nyanya kweli? Kama ndo hivyo kila mtu angekuwa tajiri mwaka huu
 
mkuu hao kroiler uliowauza 18k baada ya miezi 4 na nusu uliwalisha nn mpaka wakakua haraka hvo?
 
Hili swala mimi linanishangaza mno kuna dogo alilima nyanya miche 7000 akapiga milion 11 sasa chakushangaza anadai halimi nyanya anataka kulima tikiti
Wakulima wengi wanaogopa kusema wamepigwa, watachekwa, wanatoa takwimu za ajabu, ukitaka kujua kapigwa halimi tena lile zao
 
Kuna kitu ninajalibu kukiangalia hapa,


Umelima nyanya mwezi wa 4 alafu ulikuwa unamwagilia, mwezi wa ni msimu wa mvua,

Hii inakuwa ngumu kuelewa au ulikuwa unamwagilia huku mvua inanyesha??
 
Acha uongo sema ulilima shamba la ukubwa gani
 
Hongera sasa Lima eka 10 upate milioni 90 kwa mwezi zungusha huo mtaji faida usiile iingize kwenye mtaji hadi ufikie hilo lengo la ekari 10 la kuzalisha faida ya milioni 90 kwa mwezi

Utajiri hauhitaji haraka
Huyo jamaa nampongeza na mimi.

Kama ilivyo biashara nyingine kilimo hakitabiriki.

Shemeji yangu alilima msimu mmoja akajenga nyumba akanunua na gari. Aliporudia misimu mingine mfululizo hadi ile gari aliuza kwa mikopo.

Alikula hasara mfululizo. Mpaka leo hana hamu.
 
Nyanya zinalipa ukiablvuma kipindi cha February hadi aprili sbb mvua zinakuwa nyingi na supply inakjwa kidogo
 
Wakulima wengi wanaogopa kusema wamepigwa, watachekwa, wanatoa takwimu za ajabu, ukitaka kujua kapigwa halimi tena lile zao
Hapana huyo dogo gharama aliyokatumia haifiki hata milion 3 kwasababu aliuza pikipiki yake ndipo akaanza hicho kilimo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…