Pule
JF-Expert Member
- Apr 18, 2024
- 378
- 719
Sawa mkuuAmina mkuu kikubwa jipe miaka kadhaa ndo utafanikiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuAmina mkuu kikubwa jipe miaka kadhaa ndo utafanikiwa
Nataka kufanya kilimo Cha nyanya mkuu..naomba contact na weweSisemi kama jamaa ni muongo,au labda Kwa vile mgeni mbinu zake za uoteshaji mivhe ni hafifu.Mimi nalima nyanya Kwa miaka mitatu sasa,nikiotesha miche kwenye gram 25 ya nyanya dhahabu au imara napata miche elfu Tisa(9000) kwenye ekari moja unaingia miche haizidi 7000,kama kuna miche kufa au chochote hiyo miche iliyobaki utafidia(japo Mimi binafsi hua nafiwa na miche haizidi 500)
Mtoa mada anadai amepanda gram 60 za mbegu ambazo ni takribani miche elfu ishirini(20,000).
Ukumbuke gram 25 ya nyanya F1 sio chini ya 360,000.
Kwa nyanya za awali alizopanda katumia almost laki Tisa kwenye mbegu.
Kwanini upoteze hela zote hizo kwenye mbegu,miche yote hiyo 20,000 inatoshaje kwenye ekari moja?
Mkuu gram 20 nilizo sia nilipanda mashina 2,700/= tu baada ya kuona mbegu Ina punguana nilivyo tarajiando nikanunua mbegu zingine kama dhahabu,imara nk lengo nikukimbidhana Ili nipande Kwa Wakatiaana Ile Tanzanite F1 ilikuwa Hadi uagize Arusha.Sisemi kama jamaa ni muongo,au labda Kwa vile mgeni mbinu zake za uoteshaji mivhe ni hafifu.Mimi nalima nyanya Kwa miaka mitatu sasa,nikiotesha miche kwenye gram 25 ya nyanya dhahabu au imara napata miche elfu Tisa(9000) kwenye ekari moja unaingia miche haizidi 7000,kama kuna miche kufa au chochote hiyo miche iliyobaki utafidia(japo Mimi binafsi hua nafiwa na miche haizidi 500)
Mtoa mada anadai amepanda gram 60 za mbegu ambazo ni takribani miche elfu ishirini(20,000).
Ukumbuke gram 25 ya nyanya F1 sio chini ya 360,000.
Kwa nyanya za awali alizopanda katumia almost laki Tisa kwenye mbegu.
Kwanini upoteze hela zote hizo kwenye mbegu,miche yote hiyo 20,000 inatoshaje kwenye ekari moja?
Pia umesema kuwa heka moja inachukua mashimo (mashina) 7000 unachimba Kwa umbali Gani na kwanini? AhsanteeSisemi kama jamaa ni muongo,au labda Kwa vile mgeni mbinu zake za uoteshaji mivhe ni hafifu.Mimi nalima nyanya Kwa miaka mitatu sasa,nikiotesha miche kwenye gram 25 ya nyanya dhahabu au imara napata miche elfu Tisa(9000) kwenye ekari moja unaingia miche haizidi 7000,kama kuna miche kufa au chochote hiyo miche iliyobaki utafidia(japo Mimi binafsi hua nafiwa na miche haizidi 500)
Mtoa mada anadai amepanda gram 60 za mbegu ambazo ni takribani miche elfu ishirini(20,000).
Ukumbuke gram 25 ya nyanya F1 sio chini ya 360,000.
Kwa nyanya za awali alizopanda katumia almost laki Tisa kwenye mbegu.
Kwanini upoteze hela zote hizo kwenye mbegu,miche yote hiyo 20,000 inatoshaje kwenye ekari moja?
JF wasaalam 🙏
Kama unataka mali utaipata shambani.
Nianze kuwaomba vijana na sio kuwashauri maana kama kushauriwa mmeshauriwa sana hadi basi lakini hambadiliki.
Mimi nami ni kijana mwenye miaka 30+ hivi hiki nachokisema ni kweli na nimekifanya mwenyewe.
Uzi utakuwa mrefu kidogo vumilia tujifunze kitu.
Najua umesoma una elimu yako au pengine una kazi yako (ajira) unaingiza kiasi fulani cha pesa hii ni nzuri.
Lakini kamwe haikufanyi usijishughulishe na kuwaza nje ya box!
Binafisi mimi ni muajriwa wa company flani ya madini hapa Tanzania nipo kwenye mgodi mkubwa tu. Malipo yapo vizuri pia ukilinganisha na sector zingine.
Naowamba rafiki zangu huo ufahari mliojipatia kwenye mitandao ya kijamii uvueni na vaeni uhalisia wa maisha yenu.
Mara nyingi tunabishana humu kijana anakuambia tecno, Huawei,nk eti sio simu hizo Ili hali hata kwenye bandiko lake unatumia simu hiyohiyo
Lakini kiuhalisia maisha yako yanazidiwa mbali na mtu anayemiliki hiyo simu.
Kijana kuwa na vitu vya gharama usivyofaidika navyo ni hasara rafiki yangu.
Kama una mtaji hata kidogo tu usisite au hata uza hiyo simu yako ingia kwenye kilimo ukiwa na mtaji hata 600k-1000k ni kianzio kizuri mno na simu nzuri utanunua humo.
Tarehe 7/3/2024 nilipandikiza nyanya zangu na mwishoni mwa mwezi wa5 nikaanza mavuno ya nyanya.
Gharama nilizotumia ni m
Tsh. Milioni 3 tu ikiwa pamoja na vijana wenzangu wa kazi, madawa, mbolea na vifaa vya kazi kama majembe solo nk.
Hii nimepata hasara makadilio ilikuwa nipate faida walau 15+ Hivi
Na hii ilitokana na bei kuwa chini, vilevile Kuna mbegu nilinunua Kwa mkulima mwenzangu baada ya kwangu kutokuota vzr na hivyo kupeleka kuhitaji mbegu haraka iliyo tiyari kupandwa. ndipo nilipo nunua Ili niweze kumalizia sehemu iliyopelea.
Pamoja na hayo hii miezi 4 kupata Milioni 9 faida na kazi yangu na fanya sio Hela kidogo. Ni faida kwangu.
Saivi issues kuhusu wateja sio ya kuuliza tena wanyarwanda,waganda na wakenya wanafika hadi shambani kwako wanachukua mzingo na kupewa cash yako na wanaacha na hela ya andvance usiuuze kwa mwingine ila uwe na mzigo wa maana tu.
Na shangaa mno vijana ku fake maisha yasiyo Yako asee.
SISEMI UONGO!
Kwa sasa nina miaka 3 bila kufika Dar na wala Sina mpango wa kuja dar Kwa sababu Sioni kipya cha kunileta Dar.
Sana sana napoteza muda wangu tu bure pamoja na hela. Japo wapo wenzangu na wadogo zetu wasio jitambua wao Kila off wanaenda Dar tena kwa ndege ukiangalia wanachoenda fanya ni kula bata.
Tena wanasimuliana amelala na wanawake wa hadhi gani na wanaonyeshana picha!
Kumbuka sisi tunatinga siku 7 day night siku7 then off siku7 (mapumziko)
Hicho ndo huwa kina wa
Peleka Dar! Unabaki kuwaonea huruma tu kujenga hawajajenga nk.
Simu walizo nazo Sasa utacheka simu kubwa ya thamani kuliko Gm (general manager) wa hapa mgodini!
Ni sawa hatuwezi kupangiana maisha lakini kumbuka kesho utakuwa na familia na pia uzee upo mbioni!!
Kwa Sasa vitu vyangu naagiza online Dar hadi nilipo kwa gharama ya 10k au 20k naokoa zaidi ya 300k ya nauli chakula na malazi.
Ninayo mengi sana ya kusema lakini kilimo kinalipa sana.
Hasara ipo kila sehemu asee iwe biashara ufugaji nk. Nilichojifunza tusikate tamaa tu.
Nimewahi kuagiza vifaranga vya kuku 400 asee vilkufa nikabaki na kuku 17 tu kati ya hizo nilizani nimelogwa hadi siku Moja nipo mitandaoni nadhurula nikaona clip ya jamaa analia kuku wake zaidi 10 Elfu wamekumbwa na mafuriko na kufa wote nilimuonea huruma na kujifunza Somo hapo!
Nikaja kuagiza vifaranga 500 walikufa 17 ikawa kinyume chake hadi nauza nilikuwa na kuku 478. (Wengine nilikuwa najipongeza)
Na niliuza Kwa 18,000/=Kila kuku bei ya load wanaita.
Ndani ya miezi 4 na wiki3 tu walikuwa kroiler na nilinunua AKM huko huko Daslam .
Kwenye kupambana tegemea lolote. Visa kadhaa nitakuwa naleta Kwa comment hapo chini
Ahsanteni.
nyamya ninyanyapae 😆Lima nyanya ila kichwani ishi na kauli mbiu hii "Nyanya NINYANYUE, Nyanya NINYANYASE
Mi natumia drip lines,Kwa hiyo napanda kila umbali WA sentimita 60Pia umesema kuwa heka moja inachukua mashimo (mashina) 7000 unachimba Kwa umbali Gani na kwanini? Ahsantee
Uko wapi wapi,tenga unauzaje?Umepataje faida yote hiyo mkuu? Umevuna lini mbona kila Kona watu tunalia bei mbaya huku mpaka sasa hivi wengine tumetelekeza tunaandaa mbegu nyingine tu maana hela haiwez kurudi tenaView attachment 3084185
Kilogram moja imedrop half price kuna mafuriko ya nyanya, kama kuna mahali soko zuri tuambizane jamani.
View attachment 3084188
Otesha mbegu moja moja kwenye tray .nenda YouTube tafuta video za jinsi ya kusia nyanya kwenye tray.usimwage chiniMkuu gram 20 nilizo sia nilipanda mashina 2,700/= tu baada ya kuona mbegu Ina punguana nilivyo tarajiando nikanunua mbegu zingine kama dhahabu,imara nk lengo nikukimbidhana Ili nipande Kwa Wakatiaana Ile Tanzanite F1 ilikuwa Hadi uagize Arusha.
Elimu Haina mwisho nipe mbinu zako za usiaji wa mbegu nijifunze nipo Tyr kujifunza Kwa 100% Ahsantee sana.
Kabla hujataka kuingia kwenye kilimo hichi lazima uwe na uhakika WA maji ya kumwagilia(hela ipo kipindi cha ukame),Je Una kisima ama mto usiokauka?budget iliyokamilika ya mbegu,dawa na mbolea,chakula cha wafanyakazi Kwa miezi 4....cha Kwanza ingia YouTube,jifunze jinsi ya kusia mbegu,na kuna video nyingi Sana.Ikiwezekana nunua m begunweka hata bustani ndogo ya nyanya uwani kwako ili ujifunzie Kwa vitendo.Kilimo cha nyanya ni kigumu ila ni rahisi ukishakijulia.Nataka kufanya kilimo Cha nyanya mkuu..naomba contact na wewe
Sawa Asante nafatlia nikijue zaidi...vipi kuhusu ukubwa wa shamba?Kabla hujataka kuingia kwenye kilimo hichi lazima uwe na uhakika WA maji ya kumwagilia(hela ipo kipindi cha ukame),Je Una kisima ama mto usiokauka?budget iliyokamilika ya mbegu,dawa na mbolea,chakula cha wafanyakazi Kwa miezi 4....cha Kwanza ingia YouTube,jifunze jinsi ya kusia mbegu,na kuna video nyingi Sana.Ikiwezekana nunua m begunweka hata bustani ndogo ya nyanya uwani kwako ili ujifunzie Kwa vitendo.Kilimo cha nyanya ni kigumu ila ni rahisi ukishakijulia.
Huku chato mganza mkuu huwa tunauza kwa kilo ila sometimes kama bei ikidrop kama hivi now crate inaenda kwa 20k shamba ila ni crate ile kubwa special ya plasticUko wapi wapi,tenga unauzaje?
- Mada imetoka nje ya kilimo
- Maelezo ya kilimo ni juu juu
- Ulipo fanikiwa wewe,siyo kila mtu afanikiwe ....Wakati wewe unakimbia Dar,wengine wametobolea Dar.
- Siyo kila mtu lazima ajenge
Otesha mbegu moja moja kwenye tray .nenda YouTube tafuta video za jinsi ya kusia nyanya kwenye tray.usimwage chini
Hakika hata Mimi sio Azam Wala GSM mkuu.Kamwe huwezi msikia Azam au GSM akisema nimefanya hilo nimepata hiko, njoono tufanye