sameer0220
Member
- Nov 10, 2024
- 21
- 37
Nimelima na kupanda miparachichi heka 14 mwaka ndio zimezaa lakini ninapata wasiwasi mana ni vinekuwa vidogo sana kiasi kwamba nahisi haviwezi ingia sokoni, je wataalamu ndio huwa hivi kwa mara ya kwanza?
Inspiration Speaker alikwambia Ukilima Heka Moja tu unavuna parachichi 10,000 kila parachichi ni 500.Nimelima na kupanda miparachichi heka 14 mwaka ndio zimezaa lakini ninapata wasiwasi mana ni vinekuwa vidogo sana kiasi kwamba nahisi haviwezi ingia sokoni, je wataalamu ndio huwa hivi kwa mara ya kwanza?
Naam nilikuja na Mtaalamu toka njombe, akaja huku songea na yeye ndio alifanya budding na kila kituWakati fulani baadhi ya mimea uzao wa kwanza siyo bora au mavuno duni.
Vinginevyo ulikosea mafunzo au ulichagua mbegu isiyo endana na eneo ulilolima.
Ulipima udongo n.k?
Usiwe na hofu endelea kutunza shamba lakoNaam nilikuja na Mtaalamu toka njombe, akaja huku songea na yeye ndio alifanya budding na kila kitu
kuwa na amaniNaam nilikuja na Mtaalamu toka njombe, akaja huku songea na yeye ndio alifanya budding na kila kitu
Sidhani kama picha ina muhimu sana Mkuu mana ni vidogo sana alafu vimeiva ila havina mvuto wa mauzo nikienda tena nitaleta pichaHabari yako bila picha ni sawa na ugali bila mboga
Haya maelezo mengi yangeweza kua summarized na picha kwa asililimia fulaniSidhani kama picha ina muhimu sana Mkuu mana ni vidogo sana alafu vimeiva ila havina mvuto wa mauzo nikienda tena nitaleta picha
Picha ina umuhimu mkuu,sababu tungechanganua kwa macho,sema siyo kesi nadhani ni mavuno ya kwanza lakini ukivuna msimu wa pili nadhani yatakuwa tofauti.Sidhani kama picha ina muhimu sana Mkuu mana ni vidogo sana alafu vimeiva ila havina mvuto wa mauzo nikienda tena nitaleta picha
Kuna formula umekosea pia ebu check mzao wa pili boresha tu hudumaSidhani kama picha ina muhimu sana Mkuu mana ni vidogo sana alafu vimeiva ila havina mvuto wa mauzo nikienda tena nitaleta picha