Alipima udongo?Naam nilikuja na Mtaalamu toka njombe, akaja huku songea na yeye ndio alifanya budding na kila kitu
Kui convert nadharia kuwa hela nacho kipengeleInspiration Speaker alikwambia Ukilima Heka Moja tu unavuna parachichi 10,000 kila parachichi ni 500.
Akasema 500× 10,000 = 5,000,000 ukizidisha ekari 14 unapata 70,000,000.
Akawa anatushangaa kwanini tuna umaskini wa kujitakia??
Basi hayo ndio majibu.
Weka pichaNimelima na kupanda miparachichi heka 14 mwaka ndio zimezaa lakini ninapata wasiwasi mana ni vinekuwa vidogo sana kiasi kwamba nahisi haviwezi ingia sokoni, je wataalamu ndio huwa hivi kwa mara ya kwanza?
Mnajua sana kukatishana tamaa 😂😩Inspiration Speaker alikwambia Ukilima Heka Moja tu unavuna parachichi 10,000 kila parachichi ni 500.
Akasema 500× 10,000 = 5,000,000 ukizidisha ekari 14 unapata 70,000,000.
Akawa anatushangaa kwanini tuna umaskini wa kujitakia??
Basi hayo ndio majibu.
Eti ''hekali''.Nimelima na kupanda miparachichi heka 14 mwaka ndio zimezaa lakini ninapata wasiwasi mana ni vinekuwa vidogo sana kiasi kwamba nahisi haviwezi ingia sokoni, je wataalamu ndio huwa hivi kwa mara ya kwanza?
Its about Facts wewe jipe moyo.Mnajua sana kukatishana tamaa 😂😩
Parachichi is a big business na watu wengi tuu wanapiga pesa za kueleweka, lakini kama kawaida ya maisha, wakulima waliofeli nao ni sehemu ya kilimo cha parachichi, jipangeIts about Facts wewe jipe moyo.
Kujipa matumaini hakulete mafanikio.....laza ufanye kitu