Nimelipia nguzo TANESCO muda mrefu mpaka leo hawajarudi kunipa huduma

Maana humu unaweza kuta unabishana na mpangaji wako, anakwambia uhonge wakati kodi halipi kwa wakat
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ watu wamevurugwa
 
nikisoma hivi nazidi kuingia woga jamani
 
Nenda kwenye Tanesco Special Thread kule utapata mrejesho fasta.
Mimi Tanesco ninaenda Kila ijumaa nimekuwa Kama mtushi wao lakini majibu ni kuwa hakuna vifaa, na haya majengo ambayo hayahitaji nguzo naambiwa nipo kwenye foleni.
Lakini wengine wanapata huduma hiyohiyo niliyokosa Mimi.
Natamani hata nitoe rushwa tatizo mtazamo wangu Kila ninayemwambia anadhani nataka kumweka matatizoni haamini Kama namimi naweza kubembeleza hivi, Mimi nimekuwa mtu wa haki siku zote hiki kinanifanya nisipate huduma kwa uharaka.
 
Kama ambavyo tulikuelewesha tunaomba uvumilivu wako.
 
had nakuonea huruma jaribu kutafta mtu wa kukuongoza bila hivo huduma hazitakufikia
 
i agree with you
 
shukran sana itabidi nianze hii kaz kunae mmoja huku yeye alianza process tangu mwez wa sita waliokuja nyuma yake wote wanaumeme yeye had leo yan mimi nitajiongeza skua najua tu pa kuanzia nitawatafta
Yeah fanya hivyo la sivyo wapya watakupita wewe bado unasotea
 
madame unapimiwaje mara mbili?
 
madame kama survey kashamaliza kazi yake waambie watoe control number yako ukalipie Benki
leo asbh walinipigia baada ya hili bandiko jana wakanijibu nisiwe na was was niwe na amani watanipigia sasa nilichopanga niwaache kwa siku mbili hizi then nianze kuwakera mimi wakat huu pia ninawasiliana na mkandaras wangu naye kaniambia nimuache atanipigia ananihangaikia hilo jambo
 
madame achana na mkandarasi dili na haohao waliokupigia simu tena ukitaka haraka wasumbue sana lakini ukiwapotezea nawao wanakupotezea halafu kama ujajua wanakutengezea mazingira ya kuwahonga ndo maana wanakwambia watakupigia
 
madame achana na mkandarasi dili na haohao waliokupigia simu tena ukitaka haraka wasumbue sana lakini ukiwapotezea nawao wanakupotezea halafu kama ujajua wanakutengezea mazingira ya kuwahonga ndo maana wanakwambia watakupigia
namba nimeisevu nasubiria hapa leo au ndani ya wiki hii kuanzia wiki ijayo nitawatafta nikiona response ni ndogo au hakuna kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…