Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama umelipa kwenye account ya mtu binafsi wasiliana na huyo mtu. Silverlands hawahusiki kujibu tuhuma kuhusu malipo ambayo hukuwalipa wao, deal na uliyemlipa kama mtu binafsiMkuu sio mara moja Wala mbili kuagiza vifaranga aina ya sasso Kwa wakala wao huo na Huwa tuna tuma Kwa account yake. Yeye ni WA shinyanga. Naomba mawasiliano company kama unayo
Ahsantee niliongea nao Jana mkuu. Walisema Kuna changamoto zilizopelekea vifaranga kuwa wachache japo sijatumia.no hii ahsantee sanaContact yao hii
Wakala hapokei simu ila niliongea nao wenyewe wakasema Bado wanafanya nae kazi na oda zake zipo nyingine zimetoka nyingine Bado ila wakasisitiza niwapigie Tena baada ya wiki hii yaan jtatu ijayoLeta mrejesho labda wakala ni kama MTEF
Unalipiaje vifaranga kabla ya kupokea?
Jaribu siku nyingine kufanya kazi na namba za ofisini kwao direct, malipo nje ya ofisi ni kinyume na utaratibu.Wakala hapokei simu ila niliongea nao wenyewe wakasema Bado wanafanya nae kazi na oda zake zipo nyingine zimetoka nyingine Bado ila wakasisitiza niwapigie Tena baada ya wiki hii yaan jtatu ijayo
KabisaJaribu siku nyingine kufanya kazi na namba za ofisini kwao direct, malipo nje ya ofisi ni kinyume na utaratibu.
Wabongo tunaishi kimazoea.Kabisa