Nimelipia vifaranga vya kuku 300 aina ya kroiler kwa kampuni ya Silver Land Tanzania sasa unaenda mwezi wa pili

Nimelipia vifaranga vya kuku 300 aina ya kroiler kwa kampuni ya Silver Land Tanzania sasa unaenda mwezi wa pili

Contact yao hii
 
Attachments

  • Screenshot_20231010-145151.png
    Screenshot_20231010-145151.png
    14.6 KB · Views: 12
  • Screenshot_20231010-145151.png
    Screenshot_20231010-145151.png
    14.6 KB · Views: 11
Mkuu sio mara moja Wala mbili kuagiza vifaranga aina ya sasso Kwa wakala wao huo na Huwa tuna tuma Kwa account yake. Yeye ni WA shinyanga. Naomba mawasiliano company kama unayo
Kama umelipa kwenye account ya mtu binafsi wasiliana na huyo mtu. Silverlands hawahusiki kujibu tuhuma kuhusu malipo ambayo hukuwalipa wao, deal na uliyemlipa kama mtu binafsi
 
Leta mrejesho labda wakala ni kama MTEF
Wakala hapokei simu ila niliongea nao wenyewe wakasema Bado wanafanya nae kazi na oda zake zipo nyingine zimetoka nyingine Bado ila wakasisitiza niwapigie Tena baada ya wiki hii yaan jtatu ijayo
 
Wakala hapokei simu ila niliongea nao wenyewe wakasema Bado wanafanya nae kazi na oda zake zipo nyingine zimetoka nyingine Bado ila wakasisitiza niwapigie Tena baada ya wiki hii yaan jtatu ijayo
Jaribu siku nyingine kufanya kazi na namba za ofisini kwao direct, malipo nje ya ofisi ni kinyume na utaratibu.
 
Back
Top Bottom