Nimeliwa pesa zangu na malaya

Kakuepusha na ukimwi,shukuru Munhu wako
 
Mkuu ni kweli umeliwa au nimeelewa vibaya,, nimesoma heading tu
Kaka acha tu ningetia ata bett tu angalau iliwe huko tu,tarehe zenyewe hizi 20 hakuna mshahara afu **** mmoja anachukua hela hivihv ,,npo naimagine hapa mingemkamata chupa ya soda ingezama mtarani wakaaah
 
Mzee unapigwaje kifala hivyo aisee!piga simu kama ni Tigo Pesa au M-Pesa waambie umetuma pesa kimakosa muamala usitishwe.ungeingia nae contract kwenye wasap akikuletea za nitumie nauli ungemwambia akope popote mkimaliza biashara yenu arudishe hela alikoitoa.

Sometimes wala hakuwa kigogo yupo meza ya pili hapo ulipokuwa umekaa ni fix tu.
 
Kaka acha tu ningetia ata bett tu angalau iliwe huko tu,tarehe zenyewe hizi 20 hakuna mshahara afu **** mmoja anachukua hela hivihv ,,npo naimagine hapa mingemkamata chupa ya soda ingezama mtarani wakaaah
Nitumie namba zake nikuonyeshe huwa nawafanyaje
 
Dah....acha ubwege bana...wenzio huwa wanakaa kimya....unatuaibisha bana [emoji35]
 
wakikukula laki 2 hivi nahisi utatuma na voice note kabisa
 
Walinipiga buku nane kipindi flani iliniuma kweli
 
Muhimu ni пошлю овала занят словари hapo ndo komesho
 
Hebu tumia avatar yako ya siku zote tuangalie tunakusaidia vp
 
Nmekuja speed Nkadhani demu kaliwa[emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…