Nimeliwa pesa zangu na malaya

Nimeliwa pesa zangu na malaya

Wadau hawa mademu au Malaya wa mtandaoni wamenipiga Leo hakiyanani nimejidai kuwatumia hela ili aje anifate mahali by the way npo makumbusho afu yy anadai yupo kigogo so anaweza kuja ila sharti moja nmpe kwanza advance c nikatoa 15 iv duh kilichofata hapokei cm na watsapp kanibloku kabisa ,,,,,ebu tupeane uzoefu jaman namna ya kuwapata hawa makahaba wa social media especially Instagram ,,haya yote n kwasababu ya ugwadu tu wadau...dondosha techniques hapo

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kakuepusha na ukimwi,shukuru Munhu wako
 
Mkuu ni kweli umeliwa au nimeelewa vibaya,, nimesoma heading tu
Kaka acha tu ningetia ata bett tu angalau iliwe huko tu,tarehe zenyewe hizi 20 hakuna mshahara afu **** mmoja anachukua hela hivihv ,,npo naimagine hapa mingemkamata chupa ya soda ingezama mtarani wakaaah
 
Mzee unapigwaje kifala hivyo aisee!piga simu kama ni Tigo Pesa au M-Pesa waambie umetuma pesa kimakosa muamala usitishwe.ungeingia nae contract kwenye wasap akikuletea za nitumie nauli ungemwambia akope popote mkimaliza biashara yenu arudishe hela alikoitoa.

Sometimes wala hakuwa kigogo yupo meza ya pili hapo ulipokuwa umekaa ni fix tu.
 
Kaka acha tu ningetia ata bett tu angalau iliwe huko tu,tarehe zenyewe hizi 20 hakuna mshahara afu **** mmoja anachukua hela hivihv ,,npo naimagine hapa mingemkamata chupa ya soda ingezama mtarani wakaaah
Nitumie namba zake nikuonyeshe huwa nawafanyaje
 
Wadau hawa mademu au Malaya wa mtandaoni wamenipiga Leo hakiyanani nimejidai kuwatumia hela ili aje anifate mahali by the way npo makumbusho afu yy anadai yupo kigogo so anaweza kuja ila sharti moja nmpe kwanza advance c nikatoa 15 iv duh kilichofata hapokei cm na watsapp kanibloku kabisa ,,,,,ebu tupeane uzoefu jaman namna ya kuwapata hawa makahaba wa social media especially Instagram ,,haya yote n kwasababu ya ugwadu tu wadau...dondosha techniques hapo

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Dah....acha ubwege bana...wenzio huwa wanakaa kimya....unatuaibisha bana [emoji35]
 
wakikukula laki 2 hivi nahisi utatuma na voice note kabisa
 
Walinipiga buku nane kipindi flani iliniuma kweli
 
Muhimu ni пошлю овала занят словари hapo ndo komesho
 
Nmekuja speed Nkadhani demu kaliwa[emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom