Nimeliwa pesa zangu na malaya

Nimeliwa pesa zangu na malaya

Elfu 15 yote hiyo mkuu? Wacha wakupige tu maana wewe mjinga
 
Wapigie Tigo au Voda wambie umetuma 15 kwa kukosea watakwara hiyo 15 utarudishiwa kuna yule mmoja anajichora matattoo alikutana na mm nikajua ni msanii nikamtumia 20 hakuja nikapiga Tigo nikarudishiwa alilalamika sana
 
Wajinga ndio waliwao..we utamrushiaje pesa demu hata sura yake huifaham? Maana sura aliyokutumia wastup wala sio yake.. Ushauri: Siku nyingine mwambie utamfuata alipo kwa gharama zako. Halafu kwa nini ununue hao wakati mademu mtaani wamejaa tele?Use your brain Mkuu
Hatuangaliagi hayo Mambo ya sura. Siku hizi inatakiwa unapapasa Kama papuchi ipo kwanza ndio unalamba mashine
 
Wadau hawa mademu au Malaya wa mtandaoni wamenipiga Leo hakiyanani nimejidai kuwatumia hela ili aje anifate mahali by the way npo makumbusho afu yy anadai yupo kigogo so anaweza kuja ila sharti moja nmpe kwanza advance c nikatoa 15 iv duh kilichofata hapokei cm na watsapp kanibloku kabisa.

Ebu tupeane uzoefu jamani namna ya kuwapata hawa makahaba wa social media especially Instagram ,,haya yote ni kwasababu ya ugwadu tu wadau.

Dondosha techniques hapo


[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Utakuwa mgeni na huduma ya kupitia mtandao, usafiri hulipwa mhusika akiwa amefika, Kinyume na hapo lazima utapeliwe.
 
Back
Top Bottom