Nimelizwa-Biashara ya kusaga nafaka

Nimelizwa-Biashara ya kusaga nafaka

Ninaangalia manunuzi yangu ya umeme kweye database ya Tanesco na nina rekodi za kila umeme ninaonunua.
Lakini bado jamaa alikuwa na kupiga tu mpaka alipo enda likizo.
Hiyo data base kama hujui namna ya kufanya reconciliation ya kukusaidia kupata variances
 
Lakini bado jamaa alikuwa na kupiga tu mpaka alipo enda likizo.
Hiyo data base kama hujui namna ya kufanya reconciliation ya kukusaidia kupata variances
Simple,una records zako za manunuzi ya umeme una reconcile against ya Tanesco (ukienda Tanesco ukawapa meter number yako wanakupatia breakdown ya manunuzi yako)
 
Simple,una records zako za manunuzi ya umeme una reconcile against ya Tanesco (ukienda Tanesco ukawapa meter number yako wanakupatia breakdown ya manunuzi yako)
Nipe kazi ya kukufungia CCTV camera ambayo utakuwa una angalia kupitia simu yako
 
Huyo ni mpigaji mzuri maana alikuwa ana kuletea kiwango chako stahiki
na yeye kujitengenezea chake bila ya kudhulumu jasho lako.

Huyo ni mwizi mwerevu na muungwana..inabidi apongezwe kwa mbinu yake mubashara.
umeang jambo moja la umeme, je wear and tear ya machines je/ nadhani jambo lingine ni kurekodi units unapoanza na kufunga biashara kila siku plus paying surprise checks.
 
Back
Top Bottom