MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,093
- 7,229
Lakini bado jamaa alikuwa na kupiga tu mpaka alipo enda likizo.Ninaangalia manunuzi yangu ya umeme kweye database ya Tanesco na nina rekodi za kila umeme ninaonunua.
Hiyo data base kama hujui namna ya kufanya reconciliation ya kukusaidia kupata variances