Kumbe wewe ulifundishwa Mungu na Wazungu?
..wewe ulifundishwa na GWAJIMA?😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe wewe ulifundishwa Mungu na Wazungu?
Kamari tuliyocheza imelipa,else tungekuwa tunaongea habari nyingine!Kuna mataifa walifanya kama sisi lakini wameangamia sana,angalia Brazil walivyoteketea!
Tumebebwa sana na ukanda wa eneo,ukiangalia nchi hizi za East Africa na majirani zetu wala Corona haijawa issue sana!
Nasisitiza kuwa Kamari tuliyocheza tumelamba dume!
..Ni bahati ya mtende.
..kwasababu kama ni kumuomba MUNGU, wazungu ndio waliotuletea habari za MUNGU tuliyemuomba.
..sasa imekuaje wao waliotu-introduce kwa MUNGU waathirike kuliko sisi?
Sasa unaweza ukatoa ushahidi gani wa kisayansi ka sio bahati tu.Bahati ya mtende ndio maana yake nini..embu Acheni ujinga wa kuelewa habari zisizo nammbele wala nyuma..Hivi mzungu akikuuLiza kwanini tupo na hali hii unamweleza tuna bahati ya mtende....stupiddddd
Nitakuwa wa mwisho kuamini JPM ana hofu ya Mungu zaidi ya maigizo!Unawezaje kutesa watu halafu unasema una hofu ya Mungu?Kwa Matendo maovu dhidi ya binadamu yanayofanywa na yeye kwa kutumia mamlaka yake,hakuna uwepo wa Mungu ndani yake!Ni maono ya uongozi thabiti wa JPM uliojikita kwa kumtegemea Mungu
Umemjibu vizuri sanaUsiseme hivyo,hiyo sayansi yenyewe ni hao hao wanaoteketea ndio wabobezi na maarifa ya sayansi tunakariri kutoka kwao!Sisi na nchi nyingi za Africa kufanikiwa kwenye Corona ni bahati ya mtende!Sio kwasababu tuna Rais mkemia!Hoja nyingine nyepesi nyepesi muwe mnakaa nazo tu vifuani mwenu kulinda heshima zenu!
Wewe wengine mpaka leo wamejifungia na wanaangamia ukisema Mungu kaisadia nchi yetu utapungukiwa nini?Watu wanashangaza mno. Nadhani kwa sababu sisi watanzania wengi hawana utamaduni wa kutafiti mambo. Unajua watu hajui kuwa nchi nyingi za Afrika kwa sababu ambazo bado hatuzijui hazikuathirika sana na huu ugonjwa. Hali ya Tanzania, Kenya, Uganda, Zambia nk kwa kuathirika ni sawasawa kabisa. Tofauti ni kwamba rais wa Tanzania amekataza watu wasipimwe na wale wanaofariki wasitangazwe. Tena kwa idadi ya vifo vilivyotokea Tanzania tunaongoza kulinganisha na nchi nyingine za East Africa ila tofauti ni kuwa Magufuli alipuuzia tangu mwanzo hivyo watu wengi wakafariki kwa mpigo kile kipindi cha mwanzoni na baadae herd Immunity ikafanya kazi.
Mwenyekiti wa saccos sijui alikuwa anawaza nini kipindi kile. Kukitoa kikundi chake bungeni, kujitokeza kwenye media kuzungumzia lockdown, huku akikashifu njia zitolewazo na Serikali. Mungu amekipiga kiburi chao, na kwenye uchaguzi huu watanzania tutafanya kwa vitendo.Tuache siasa tuache majungu Magufuli ni mwanasayansi asiekuwa muoga na anaejua nini anafanya. Sio kwamba ana miujiza ila alichoweza kuwaaminisha watanzania ni kwamba corona ni mafua ya kawaida sana kawaida ila haiwezi kushindana na uwezo wetu wa kukabiliana na hali tete au hali ngumu.
Alichofanya Magufuli ni kawaondolea watu hofu na kuiona corona kama mafua ya kawaida that how he won against corona. Hili si swala la kiasiasa ni swala kutambua mambo pia tumshukuru Mungu pia kuwa katupa kiongozi anaweza kuona na kutambua hatari na madhara yake leo tungekuwa na lockdown maisha ya watanzania yangekuaje?
Magufuli he is the hero against corona in the world. Kampeni zinaendelea, wapinzani pamoja na chama tawala wote wanajaza watu kwa maelf kiukweli wakati wa corona tungekuwa na Rais toka CHADEMA mnajua maamuzi yangekuwaje.
Wacha wee, ni yule rafiki yako wa Birmingham ya Gwajiboy?Tuache siasa tuache majungu Magufuli ni mwanasayansi asiekuwa muoga na anaejua nini anafanya. Sio kwamba ana miujiza ila alichoweza kuwaaminisha watanzania ni kwamba corona ni mafua ya kawaida sana kawaida ila haiwezi kushindana na uwezo wetu wa kukabiliana na hali tete au hali ngumu.
Alichofanya Magufuli ni kawaondolea watu hofu na kuiona corona kama mafua ya kawaida that how he won against corona. Hili si swala la kiasiasa ni swala kutambua mambo pia tumshukuru Mungu pia kuwa katupa kiongozi anaweza kuona na kutambua hatari na madhara yake leo tungekuwa na lockdown maisha ya watanzania yangekuaje?
Magufuli he is the hero against corona in the world. Kampeni zinaendelea, wapinzani pamoja na chama tawala wote wanajaza watu kwa maelf kiukweli wakati wa corona tungekuwa na Rais toka CHADEMA mnajua maamuzi yangekuwaje.
[emoji846][emoji5][emoji4][emoji3][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!Wanalindaje kitu ambacho hawana?
Kinga ya WaAfrica iko juu ukilinganisha na hao wazungu wa Brazil, hapa ndio ile kauli ya IGA UFE imepata uhalisiaKamari tuliyocheza imelipa,else tungekuwa tunaongea habari nyingine!Kuna mataifa walifanya kama sisi lakini wameangamia sana,angalia Brazil walivyoteketea!
Tumebebwa sana na ukanda wa eneo,ukiangalia nchi hizi za East Africa na majirani zetu wala Corona haijawa issue sana!
Nasisitiza kuwa Kamari tuliyocheza tumelamba dume!
Tatizo ukienda kwenye media za wazungu bado hawataki kukiri kwamba TZ hatuna Corona, wao wanang’ang’ana na ule upuuzi wa kuficha dataBahati ya mtende ndio maana yake nini..embu Acheni ujinga wa kuelewa habari zisizo nammbele wala nyuma..Hivi mzungu akikuuLiza kwanini tupo na hali hii unamweleza tuna bahati ya mtende....stupiddddd
Natural healingMimi naamiini humu JF na TZ nzima tukipimwa karibia wote tuna hako kamafua na kanapona kenyewe tu.
Kwani kazi ya serikali ni kuajiricau kutengeneza mazingira wezeshi?Bora wao wana kazi za kufanyia nyumbani, nyie huku mmetoa ajira ngapi kwa vijana wanaomaliza vyuo vikuu kila mwaka?
Wacha kufikiria na kuandika kama mbayuwayu.
Tungejifungia ndani, hiyo herd immunity ingepatikana?Watu wanashangaza mno. Nadhani kwa sababu sisi watanzania wengi hawana utamaduni wa kutafiti mambo. Unajua watu hajui kuwa nchi nyingi za Afrika kwa sababu ambazo bado hatuzijui hazikuathirika sana na huu ugonjwa. Hali ya Tanzania, Kenya, Uganda, Zambia nk kwa kuathirika ni sawasawa kabisa. Tofauti ni kwamba rais wa Tanzania amekataza watu wasipimwe na wale wanaofariki wasitangazwe. Tena kwa idadi ya vifo vilivyotokea Tanzania tunaongoza kulinganisha na nchi nyingine za East Africa ila tofauti ni kuwa Magufuli alipuuzia tangu mwanzo hivyo watu wengi wakafariki kwa mpigo kile kipindi cha mwanzoni na baadae herd Immunity ikafanya kazi.