Nimemaliza kuongea na Rafiki yangu anayeishi Marekani, Ananiambia 'we are still working from home beacuse of Corona, America is becoming boring place'

Ni maono ya uongozi thabiti wa JPM uliojikita kwa kumtegemea Mungu
 
Kamanda kama ni bahati Chadema acheni kampeni muendelee kujiweka karantini kwa kuzingatia maelekezo ya Rais wenu Kenyatta
..Ni bahati ya mtende.

..kwasababu kama ni kumuomba MUNGU, wazungu ndio waliotuletea habari za MUNGU tuliyemuomba.

..sasa imekuaje wao waliotu-introduce kwa MUNGU waathirike kuliko sisi?
 
Bahati ya mtende ndio maana yake nini..embu Acheni ujinga wa kuelewa habari zisizo nammbele wala nyuma..Hivi mzungu akikuuLiza kwanini tupo na hali hii unamweleza tuna bahati ya mtende....stupiddddd
Sasa unaweza ukatoa ushahidi gani wa kisayansi ka sio bahati tu.
Shida yenu mnapenda kuimba pambio za kusifu tu bila kutumia akili? sisi bahati tuliyonayo ni kutokuokota maiti mitaani, Je, unaweza ukathibitisha kua watu hawafi kwa korona?
 
Ni maono ya uongozi thabiti wa JPM uliojikita kwa kumtegemea Mungu
Nitakuwa wa mwisho kuamini JPM ana hofu ya Mungu zaidi ya maigizo!Unawezaje kutesa watu halafu unasema una hofu ya Mungu?Kwa Matendo maovu dhidi ya binadamu yanayofanywa na yeye kwa kutumia mamlaka yake,hakuna uwepo wa Mungu ndani yake!
 
Umemjibu vizuri sana
 
Wewe wengine mpaka leo wamejifungia na wanaangamia ukisema Mungu kaisadia nchi yetu utapungukiwa nini?
 
Mwenyekiti wa saccos sijui alikuwa anawaza nini kipindi kile. Kukitoa kikundi chake bungeni, kujitokeza kwenye media kuzungumzia lockdown, huku akikashifu njia zitolewazo na Serikali. Mungu amekipiga kiburi chao, na kwenye uchaguzi huu watanzania tutafanya kwa vitendo.
 
Wacha wee, ni yule rafiki yako wa Birmingham ya Gwajiboy?
 
Yaelekea Museni alikubali kuja Bongo basi tu lakini kama vile alikua hana amani. Wao bado wanajifungia! Nasikia aliweka masharti kibao na hata hawakupeana mkono na mwenyeji wake!

Kupanga ni kuchagua. Kama wengine walivyoamua kuendelea kujifungia na kuvaa masks, Tz tumeamua kujiachia na kuendelea na shughuli zetu kama kawaida na kwa maoni yangu pande zote ziko sahihi
 
Na jinsi wanavyoendelea kujifungia, ndio wanazidi kupoteza ile golden chance ya kuipa miili yao chance ya kutengeneza ‘natural immunity’, na siku wakitoka lockdown ndio watakufa zaidi
 
Kinga ya WaAfrica iko juu ukilinganisha na hao wazungu wa Brazil, hapa ndio ile kauli ya IGA UFE imepata uhalisia
 
Bahati ya mtende ndio maana yake nini..embu Acheni ujinga wa kuelewa habari zisizo nammbele wala nyuma..Hivi mzungu akikuuLiza kwanini tupo na hali hii unamweleza tuna bahati ya mtende....stupiddddd
Tatizo ukienda kwenye media za wazungu bado hawataki kukiri kwamba TZ hatuna Corona, wao wanang’ang’ana na ule upuuzi wa kuficha data
 
Bora wao wana kazi za kufanyia nyumbani, nyie huku mmetoa ajira ngapi kwa vijana wanaomaliza vyuo vikuu kila mwaka?

Wacha kufikiria na kuandika kama mbayuwayu.
Kwani kazi ya serikali ni kuajiricau kutengeneza mazingira wezeshi?
 
Tungejifungia ndani, hiyo herd immunity ingepatikana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…