Nimemaliza masomo Canada ninahofia kurudi nyumbani

Bambii

Member
Joined
Dec 14, 2015
Posts
37
Reaction score
56
Wana jamvi ninaomba ushauri wenu,

Mimi ni mwajiriwa wa serikalini nilipata nafasi ya kuja kusoma Masters kwa ufadhili wa chuo kimoja hapa Canada. Japokuwa nilifanya kazi kwa mwaka mmoja tu kabla sijaja masomoni.

Muda wangu wa masomo unakaribia sana kuisha na ninaona nafasi za ajira na maisha bora huku niliko kuliko nyumbani. lakini ninawaza nitafanyaje juu ya mkataba wa kazini Tanzania na kama ni maamuzi sahihi kubakia huku baada ya masomo yangu.
 
Sasa unarudi kufanya nini huku mkuu.. jitupe norway,Sweden,Germany,Finland,South,nk. Kwa sasa huku elimu yako hai-worth kitu. Utakuja na master yako afu ukabebeshwa mabeseni ukauze ulipwe kwa cammisions..
Kama huna connection za uhakika huku jilipue huko huko kiongozi ata ukapige Dishwasing
 
Ingekuwa shida kama serikali ya TZ ilikusomesha au zile scholarship za sharti la kurudi nchi yako ya makazi...

Otherwise wewe endelea kula tembele tu huko CA...

Back
Top Bottom