Nimemaliza masomo Canada ninahofia kurudi nyumbani

Nimemaliza masomo Canada ninahofia kurudi nyumbani

Nawajua watu wawili walikuwa na mikataba kama yako walivyopata opportunity hawakurudi... inategemea lakini hapa nyumbani uliacha nini, umri wako na malengo yako ya maisha...
Bongo patamu bwana asikwambie mtu...Huko nje kuzuri kutembea tu sio kuishi kwa mchakamchaka ule..
 
Kuna mtu alianza mishe za kutorokea hukohuko wakati tuko tour ya week mbili uingereza. Kiongozi wa msafara ikabidi afanye monitoring ya hali ya juu. Lakini jamaa baada ya shule alifight hadi akaenda. Saivi yuko states anapiga kazi, ila kila mwaka anakuja tz
 
Back
Top Bottom