Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana jamvi ninaomba ushauri wenu,
Mimi ni mwajiriwa wa serikalini nilipata nafasi ya kuja kusoma Masters kwa ufadhili wa chuo kimoja hapa Canada. Japokuwa nilifanya kazi kwa mwaka mmoja tu kabla sijaja masomoni.
Muda wangu wa masomo unakaribia sana kuisha na ninaona nafasi za ajira na maisha bora huku niliko kuliko nyumbani. lakini ninawaza nitafanyaje juu ya mkataba wa kazini Tanzania na kama ni maamuzi sahihi kubakia huku baada ya masomo yangu.

Na wabongo wana kimbia huku hakuna kazi sio? Ajili kichwani kwako... Za kuambiwa?Unasema Norway...Kuna mzungu yupo bongo hapa toka Norway anasema hakuna kaxi huko anahaha
😀😀😀😀 hii tz bwana kqI sana ukisema usisome kazi ukisema usome kazi yani hakuna raha kika kitu shida tupu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Japo umeongea kimasihara ila ndio ukweli wenyewe.
Yaani akija tu vita ya kwanza itaanza kutoka kwa meneja wake kwa kuhofia kupokonywa cheo
Sent using Jamii Forums mobile app
Eli nimechekaaa!Ndege ya CCM inarudi, omba lift
Haombi ushauri anauliza huku hali ikoje ajipangeHiyo elim yako inakusaidia nini Kama suala dogo kama hili nalo unaomba ushauri mtandaoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naye amepata Masters yake nje pia. Zaid ya hayo Magufuli ana akili za asili haitaji elimu ya chuo. Magufuli ni Indigo Child. Indigo children huletwa na mungu. Hata ufanye nini wana letwa kutekeleza yale mungu ameyapanga.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]anajiona yeye aliyesoma chato na jalalani ni genius kuliko waliosoma Europe na America
Sent using Jamii Forums mobile app
Massa mawili dola 500 mkuu kwa kubeba box duh.Kwani huko hakuna kazi za kubeba maboksi siku masaa mawili una $500
Wana jamvi ninaomba ushauri wenu,
Mimi ni mwajiriwa wa serikalini nilipata nafasi ya kuja kusoma Masters kwa ufadhili wa chuo kimoja hapa Canada. Japokuwa nilifanya kazi kwa mwaka mmoja tu kabla sijaja masomoni.
Muda wangu wa masomo unakaribia sana kuisha na ninaona nafasi za ajira na maisha bora huku niliko kuliko nyumbani. lakini ninawaza nitafanyaje juu ya mkataba wa kazini Tanzania na kama ni maamuzi sahihi kubakia huku baada ya masomo yangu.
Na kama scholarship yake inamtaka kurudi akimaliza kusoma ataweza pewa hiyo ofa ua inakuaje?Niijuavyo Canada, ukiwa "kipanga" watakupa "ofa" usiyo weza kuikataa, ikiwa mpaka sasa hujapewa "ofa" au ya kuendelea na PhD au kazi, basi elewa kuwa u poyoyo.
Maamuzi ni yako ubaki au uondoke.