Forbes1990
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 513
- 991
Mimi Nina rafiki yangu Yuko Norway anasoma na huwa anapiga part time job Kama zote ....Watu wanafikiri huko majuu life ni kama kumsukuma mlevi, ndo maana tunamuuliza mtoa mada baada ya kukaa huko na kusoma masters akili yake inamtuma kufanya nini, maana wengine tumefanya hadi PhD na bado tumerudi home..
Huyo mzungu itakuwa kawapiga change la macho .... Wenzetu Kama huna kazi unapokea unemployment benefit kila mwisho wa mwezi... Kitu ambacho bongo hatuwezi kuwa nacho labda miaka 10000 ijayo...
Mleta mada inaonekana Ni mtoto wa mama , ningekuwa mimi hata kuomba ushauri humu nisingeomba maana ningejua serikali ya canada ingejua umafia ninaoenda kuufanya....
Yani upo Canada jirani na Marekani ... Sema Tena Marekani "The Land Of Opportunity" ... Unakuja kutuuliza kuwa urudi bongo .... Tuombe kwanza msamaha !!!
Tafuta libibi upige hata ndoa mzee ... Au Tafuta kademu uwe nako then jaza mimba .. ukipata kila kitu Rudi kwenye rangi yako ya kizaramo mzee baba ...
Hiyo fursa angeipata Mnigeria au Kenyan angekuwa anachekelea tu ...
Njia nyingine ya kubaki huko nenda Pale Bombadier ukakinukishe kwanini wanashika Ndege zetu , magufuli anaweza kukufikiria na uteuzi wowote hapo ubalozini Canada na utabaki hapo ukifanya kazi ya kutoa kichapo kwa beberu yoyote anathubutu kukamata Ndege zetu tunazozitoa hapo kiwandani....
Chagua inayokufaa hapo juu....
Sent using Jamii Forums mobile app