Kwanini sasa jamaniMie had amenikera ujue!
Kwanini sasa jamani
Hhaahahaa...jaman kuna watu dunian hapa ni shida!..upele humpata ...
Yaani....nitamuambia shemeji asikupe ruksa.. otherwise atabaki mjaneMie hata nipate invitation sirudi tz!
Yaan potelea poteee[emoji1787][emoji1787]
Wana jamvi ninaomba ushauri wenu,
Mimi ni mwajiriwa wa serikalini nilipata nafasi ya kuja kusoma Masters kwa ufadhili wa chuo kimoja hapa Canada. Japokuwa nilifanya kazi kwa mwaka mmoja tu kabla sijaja masomoni.
Muda wangu wa masomo unakaribia sana kuisha na ninaona nafasi za ajira na maisha bora huku niliko kuliko nyumbani. lakini ninawaza nitafanyaje juu ya mkataba wa kazini Tanzania na kama ni maamuzi sahihi kubakia huku baada ya masomo yangu.