Nimemaliza PCB, nataka afya Ila siwezi kuvumiliaa kuona damu wala kuona mtu anatoka damu

Nimemaliza PCB, nataka afya Ila siwezi kuvumiliaa kuona damu wala kuona mtu anatoka damu

Ali Muhammad

Member
Joined
Feb 22, 2021
Posts
5
Reaction score
3
Ninataka kusoma afya ila siwezi kuona damu, nimemaliza PCB div 1.8 Kuna course gani za afya ambazo hazihusishi kuona damu?
Matokeo yang ya form 6 ni phy C chem B bio C
 
Ninataka kusoma afya ila.siwezi kuona damu nimemaliza pcb div 1.8 Kuna course gani za afya ambazo hazihusishi kuona damu.
matokeo yang ya form 6 ni
phy C chem B bio C
Pharmy, clinical officer, medical lab nk ila MD usiguse kuna damu nyingi sana.
 
Pharmy,clinical officer,medical lab nk,ila MD usiguse kuna damu nyingi sana.
Medical lab asilimia kubwa ya sample ni damu, co- ni diploma ya medicine wakt ana qualification za degree, Md ndo damu nje nje. Bora akasome pharmacy adeal na dawa tu
 
Medical lab asilimia kubwa ya sample ni damu, co- ni diploma ya medicine wakt ana qualification za degree, Md ndo damu nje nje. Bora akasome pharmacy adeal na dawa tu
Kuna damu na vidamu aende lab ila kama anataka aone minofu MD mlango uko wazi
 
Ninataka kusoma afya ila.siwezi kuona damu nimemaliza pcb div 1.8 Kuna course gani za afya ambazo hazihusishi kuona damu.
matokeo yang ya form 6 ni
phy C chem B bio C
Form six ulipasua panya au ulimeza mchoro Tanzania kwa elimu bado sana
 
Back
Top Bottom