Ali Muhammad
Member
- Feb 22, 2021
- 5
- 3
Pharmy, clinical officer, medical lab nk ila MD usiguse kuna damu nyingi sana.Ninataka kusoma afya ila.siwezi kuona damu nimemaliza pcb div 1.8 Kuna course gani za afya ambazo hazihusishi kuona damu.
matokeo yang ya form 6 ni
phy C chem B bio C
Medical lab asilimia kubwa ya sample ni damu, co- ni diploma ya medicine wakt ana qualification za degree, Md ndo damu nje nje. Bora akasome pharmacy adeal na dawa tuPharmy,clinical officer,medical lab nk,ila MD usiguse kuna damu nyingi sana.
Kwani clinical officer hakuna damu?Pharmy,clinical officer,medical lab nk,ila MD usiguse kuna damu nyingi sana.
Kasome Radiology mkuu digrii ipo pale CUHAS ule mema ya nchi.
Kasome pharmacy.Ninataka kusoma afya ila.siwezi kuona damu nimemaliza pcb div 1.8 Kuna course gani za afya ambazo hazihusishi kuona damu.
matokeo yang ya form 6 ni
phy C chem B bio C
Hutaki kuona damu kwani ukiiona inakuwaje?Ninataka kusoma afya ila.siwezi kuona damu nimemaliza pcb div 1.8 Kuna course gani za afya ambazo hazihusishi kuona damu.
matokeo yang ya form 6 ni
phy C chem B bio C
Nikiona damu najiskia kizunguzungu mkuu hata kuona mtu anapigwa sindano za mishipa pia ni shida
Radiology damu nje nje, kuna wakati wanashughulika na majeruhi wa ajali nk.Kasome Radiology mkuu digrii ipo pale CUHAS ule mema ya nchi.
akiiona atajisikia kinyaa
Basi bora angesomea kilimo cha matikiti majiakiiona atajisikia kinyaa
Kuna damu na vidamu aende lab ila kama anataka aone minofu MD mlango uko waziMedical lab asilimia kubwa ya sample ni damu, co- ni diploma ya medicine wakt ana qualification za degree, Md ndo damu nje nje. Bora akasome pharmacy adeal na dawa tu
Dah umeniwahi mkuuRadiology damu nje nje,,kuna wakati wanashughulika na majeruhi wa ajali nk.
Hivi wale panya wa practical hawana damu ama!?Kwani clinical officer hakuna damu?
Form six ulipasua panya au ulimeza mchoro Tanzania kwa elimu bado sanaNinataka kusoma afya ila.siwezi kuona damu nimemaliza pcb div 1.8 Kuna course gani za afya ambazo hazihusishi kuona damu.
matokeo yang ya form 6 ni
phy C chem B bio C