Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Bia ina husika vipi na mada bwasheeShetani mpumbavu sana. Kitu kibaya anawarubini Wanadamu wakione kizuri.
Pombe ambayo haina utamu kabisa, akafanya ionekane ndo kinywaji cha kijanja. Kwa mara ya kwanza ukinywa beer si uliona ni chungu sana? Nini kilifanya baadae uoine ni tamu?
Akaleta ulaji wa vyakula najisi; nguruwe na jamaa zake. Halafu kuna watu wanadai nyama ya binadamu ni tamu kuliko nyama yoyote. Pumbavu zenu, mshindwe kabisaaa!
Mi najua papuchi ni tamu sana tu. Ila huyu Shetani mpumbavu anataka kutuaminisha sewage system ni tamu kuliko papuchi. Kumanyoko Shetani!
Hahaha vijana mna maneno sanaNilichitiwa na mpenzi wangu mrembo hasa. Nilivyobaini hivyo roho iliniuma sana. Nilikua na future naye. Nikajiuliza maswali mengi. Wapi nakosa Hadi nachapiwa.
Shetani akaingilia Kati. Akaniambia may be anafanyiwa vya haramu.
Nami nikarubunika.
Kumbe haikua hivyo. Sababu nilimkuta Tait. Ila kwa kua nilishamwanzishia. Tulijikuta tunafanya tena na tena.
Baadae ya muda mrefu kufanya hivyo. Ili kua ukiingia kokote unahisi sawa. Yaani mpaka uuliza apa ni wapi.
Shetani ana nguvu.
AstaghaffillahNilichitiwa na mpenzi wangu mrembo hasa. Nilivyobaini hivyo roho iliniuma sana. Nilikua na future naye. Nikajiuliza maswali mengi. Wapi nakosa Hadi nachapiwa.
Shetani akaingilia Kati. Akaniambia may be anafanyiwa vya haramu.
Nami nikarubunika.
Kumbe haikua hivyo. Sababu nilimkuta Tait. Ila kwa kua nilishamwanzishia. Tulijikuta tunafanya tena na tena.
Baadae ya muda mrefu kufanya hivyo. Ili kua ukiingia kokote unahisi sawa. Yaani mpaka uuliza apa ni wapi.
Shetani ana nguvu.
huu ni ushuhuda?na bao lake sio tamu wala halina maajabu
Ameikorofisha tamu yako mkuuBia ina husika vipi na mada bwashee
Huyu ndugu yangu ,ana chuki na bia bwashee.Ameikorofisha tamu yako mkuu
anapenda bia kuliko mademuAmeikorofisha tamu yako mkuu