Nimemcheki Samatta kwenye Game ya Genk vs Anderletch. Samatta hana uwezo wa kucheza England

Kama Giruod kaweza kwanini samatta ashindwe na pia akienda huko England sio lazima acheze team kubwa kama unavowaza anaweza kuchezea team za ligi kuu epl zenye majina madogo na akatisha tu
 
Aibuuu
 
Mbaya hana sababu.. Endelea kunywa bia za kuagiziwa.
FT: GENK 1-0 ANDERLETCH... goli amefunga Mbwana Samatta.
 
ila samata anamzidi kiwango lingard wa Manchester United
 
Tanzania kila mtu mchambuzi kwani kazi ya striker ni nini?

Me kama kazi anayotumwa anaitekeleza me sioni tatizo. Kikubwa anafunga na kuiwezesha timu kuondoka na point tatu.
Nikukumbushe. Match nne goli tano hadi sasa.
 
Wewe jamaa unalipenda sana Chama langu la United..sema unajifanya tu huelewi
iyo team nikiambiwa nikajitoe muhanga uwanjani naenda hata asaivi siwapendi sababu ya ujinga wa mashabiki wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…