Kuna aina tofauti tofauti za strikers...
Si lazima uwe na nguvu kama Drogba, mbwembwe kama Messi au mbio kama Ronaldo...
Wapo wafungaji wanaojulikana kama goal poachers, yaani wao uwanjani hawana mbwembwe isipokuwa wanajua mno kukaa maeneo yanayowarahisishia kufunga...
Mathalani unawakumbuka watu kama Mateja Kezman, Mario Jardel, Dwight Yorke, Tore Andy Flo, Ruud Van Nisterlooy, Roy Makaay n.k ni aina ya washambuliaji hawakuwa na pilika nyingi ila wao ilikuwa ni kujiposition panapotakiwa na kutupia tu
Kazi ya striker ni kufunga na kashafanya hivyo mara kibao, kafanya akiwa Mazembe na sasa Genk hivyo Samatta anaweza akacheza ligi yoyote Ulaya....