Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mavi mavi..Kagere hata CAF Champions league medal Hana..Write your reply...kagere v samata nani anastahili kukiamsha kwa malkia
Kama ya jiweTANZANIA KUNA WATU WANA ROHO MBAYA SANA ZA KI MBWA
Jitume wewe tuone kama hata Manyema fc utatoboa.Mtoa post unajicho la tatu...[emoji122]
Samatta ni jamaa mmoja mwenye bahati tu, ila ila anajituma sanaa[emoji122]
Jitume wewe tuone kama hata Manyema fc utatoboa.
TUNAOMBA TAFADHALI UJITOKEZE TUUJADILI HUU UZIKwa wale tuliokuwa tunadanganywa na vyombo vya habari kuhusu Samatta kufuatiliwa n'a team za overtone na leicester naona haikuwa ukweli.
Huyo jamaa uwezo wake ni wakawaida sana sema bahati ndio ilimpeleka ulaya.
Kipindi cha kwanza hajafanya attempt hata moja na kagusa mpira mara mbili tu nikimlinganisha na walichokuwa wanafanya mastriker wa Genk.
Sioni nafasi yake kwa klabu yeyote pale england wala spain. Hana zile mishemishe za kistriker. Bado anampira wa kitanzania.
Mtoa post arudi alafu atuelezee tena yeye anasemaje.Mavi Mavi tu na roho chafu chafu za kuzuia baraka na maendeleo kwenye nchi na bara kwa ujumla.
Utasikia kazi kuwalaumu Wazungu kuwa hawatupendi.Sasa huo ni mfano wa mtu mmoja anakuja kuandika kitu unashangaa.
Wewe kunguni tu nenda akakuoe sasa kwan nani anadisi maisha samatta kiukweli mpira hana wa kushangaza ni wakawaida hata msuva hawezi mfikia.Nafikiri sasa ifike hatua tuache kupangiana maisha kila mtu afanye anachoweza, shauri za kingesengese kama hizi tuachane nazo, mtu apambane kivyake wewe na kundu lako huku unaleta ushauri wa kikuda
Ntolee mipovu yako hapa kwahiyo wewe unajua kuliko aston villa?Wewe kunguni tu nenda akakuoe sasa kwan nani anadisi maisha samatta kiukweli mpira hana wa kushangaza ni wakawaida hata msuva hawezi mfikia.
Sent using Jamii Forums mobile app