Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 2,890
- 5,632
Umeanza kumcheki kwenye game ngapi?au hii ndiyo yakwanza?Kabla hujaandika ulitakiwa umcheki walau game 3 ndio utuambieKwa wale tuliokuwa tunadanganywa na vyombo vya habari kuhusu Samatta kufuatiliwa n'a team za overtone na leicester naona haikuwa ukweli.. Huyo jamaa uwezo wake ni wakawaida sana sema bahati ndio ilimpeleka ulaya..
Kipindi cha kwanza hajafanya attempt hata moja na kagusa mpira mara mbili tu nikimlinganisha na walichokuwa wanafanya mastriker wa Genk .
Sioni nafasi yake kwa klabu yeyote pale england wala spain... Hana zile mishemishe za kistriker... Bado anampira wa kitanzania....
Mwenyewe najua alichukua Ebony Shoe Award pekee ila cha ajabu online sources zinadai et ndo mfungaji bora wa msimu.Hajachukua
😂😂😂😂Thread ya mchawi
Pia mkumbuke kwenye mexhi hiyo ndio aliweka kimiani goli LA ushindi.na kwenye top scorers yupo namba 2 akiwa na magoli 4 nyuma ya kinara mwenye ,5Mkuu inawezekana ukawa umesema ukweli Mchungu.....ila kwani England ndio kuna Mpira? au Kuna Mashabiki?
Mi napendekeza akitaka kutoka Genk aende spain tuu,England atakuwa mwanariadha tuu...ila akaze buti pamoja kuwa napambana na andeletch timu kongwe na kubwa na wamempania...fitna kwa MTU MWEUSI USISAHAU...
Kwa wale tuliokuwa tunadanganywa na vyombo vya habari kuhusu Samatta kufuatiliwa n'a team za overtone na leicester naona haikuwa ukweli.. Huyo jamaa uwezo wake ni wakawaida sana sema bahati ndio ilimpeleka ulaya..
Kipindi cha kwanza hajafanya attempt hata moja na kagusa mpira mara mbili tu nikimlinganisha na walichokuwa wanafanya mastriker wa Genk .
Sioni nafasi yake kwa klabu yeyote pale england wala spain... Hana zile mishemishe za kistriker... Bado anampira wa kitanzania....
pole shabiki mwenzangu wa manjesta... Leo tumlaumu nan?Kama unataka kuona kandanda/ kambumbu likisakatwa bila kujali hadhi ya klabu basi tazama EPL ila kama unataka tactics tizama mechi zinazoihusisha Barcelona, Real Madrid pamoja na Atletico de madrid.
.
Kama unataka kuona vibe la mashabiki basi tazama bundesliga ya ujerumani, kambumbu liko EPL buda linahusisha kila kitu nguvu, mbinu, mbio n.k kwo mchezaji aliyezoea mipira ya Spain ya mbinu zaidi akikutana na beki za wolves lazima avunjwe kamguu
Kwa wale tuliokuwa tunadanganywa na vyombo vya habari kuhusu Samatta kufuatiliwa n'a team za overtone na leicester naona haikuwa ukweli.. Huyo jamaa uwezo wake ni wakawaida sana sema bahati ndio ilimpeleka ulaya..
Kipindi cha kwanza hajafanya attempt hata moja na kagusa mpira mara mbili tu nikimlinganisha na walichokuwa wanafanya mastriker wa Genk .
Sioni nafasi yake kwa klabu yeyote pale england wala spain... Hana zile mishemishe za kistriker... Bado anampira wa kitanzania....
Paul pogba is a bunchpole shabiki mwenzangu wa manjesta... Leo tumlaumu nan?
Mleta mada ni aina ya mashabiki walioujulia mpira kupitia Messi au Ronaldo,wanadhani kila striker atakuwa wa aina hiyo.Kuna aina tofauti tofauti za strikers...
Si lazima uwe na nguvu kama Drogba, mbwembwe kama Messi au mbio kama Ronaldo...
Wapo wafungaji wanaojulikana kama goal poachers, yaani wao uwanjani hawana mbwembwe isipokuwa wanajua mno kukaa maeneo yanayowarahisishia kufunga...
Mathalani unawakumbuka watu kama Mateja Kezman, Mario Jardel, Dwight Yorke, Tore Andy Flo, Ruud Van Nisterlooy, Roy Makaay n.k ni aina ya washambuliaji hawakuwa na pilika nyingi ila wao ilikuwa ni kujiposition panapotakiwa na kutupia tu
Samatta anaweza akacheza ligi yoyote Ulaya....
Asome hapa kwa faida yake ubongoni.Kuna aina tofauti tofauti za strikers...
Si lazima uwe na nguvu kama Drogba, mbwembwe kama Messi au mbio kama Ronaldo...
Wapo wafungaji wanaojulikana kama goal poachers, yaani wao uwanjani hawana mbwembwe isipokuwa wanajua mno kukaa maeneo yanayowarahisishia kufunga...
Mathalani unawakumbuka watu kama Mateja Kezman, Mario Jardel, Dwight Yorke, Tore Andy Flo, Ruud Van Nisterlooy, Roy Makaay n.k ni aina ya washambuliaji hawakuwa na pilika nyingi ila wao ilikuwa ni kujiposition panapotakiwa na kutupia tu
Kazi ya striker ni kufunga na kashafanya hivyo mara kibao, kafanya akiwa Mazembe na sasa Genk hivyo Samatta anaweza akacheza ligi yoyote Ulaya....