Nimemcheki Samatta kwenye Game ya Genk vs Anderletch. Samatta hana uwezo wa kucheza England


Kama unaweza, panda juu nenda ukazibe.

 
Watu weusi tunaongoza kwa roho mbaya, tunaweza kumchukia mtu pasi na sababu yoyote mbaya zaidi huyo mtu unayemchukia hujawahi hata kukaa nae na kufanya conversation na isitoshe hakujui hata,,, Waafrika tunaroho mbaya sana hasa tunapoona mtu kafanikia huwa tunamchukia tuu bila ya sababu
 
Kabisa mkuu watu wana roho za ajabu kwel
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuta kafa tayari mwenye huu uzi....Habari za Aston Villa lazima pressure imemwondoa.

Ana roho kubwa eti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…