Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Anapenda pesa kama Bank. Hazipiti week mbili anaomba pesa. Yeye zake anatanua sana maisha. Simu anabadilisha kila mara na vitu vya thamani. Kushindana na wenzie kuwa ana boyfriend tajiri. Mimi siyo tajiri. Nimekuwa tu fala nikidhani atathamini mapenzi yangu.
Now its too much. Aende zake kwa kweli. Inatosha sana.
View attachment 2682796

Ntatoa maana najuwa nakukopesha kama rafikiheartbeat sikupendi, naomba ten basi, hapo ndo unatoa? π
Nchi ya ujamaa hii.Lazima kushirikiana kula mavuno kwa umoja zaidi.πNext time text za kuombwa hela usiwe unajibu, Bluetick pita kushoto.
Na kama kuna ulazima wa kujibu basi jibu "Nikipata ntakutumia".
Hivi viumbe ni wabinafsi sana, na ukichunguza vzr ktk mahusiano hawana faida zaidi ya hasara..
Kuna mmoja nishamfungia vioo, wajinga ndio wanaotuma hela, mie ni kheri nimnunulie material things ila sio kumpa Cash...
Unampa Cash anaenda kutombwa na Mwanaume mwenzio bure bure.. na Manz analipia hotel kwa hela uliyompa.
Swali la kizushi,
Je ni kwamba demu hafai
AU
Je ni kwamba hauna hela??π€
No offence!
[emoji2][emoji2][emoji2]Swali la kizushi,
Je ni kwamba demu hafai
AU
Je ni kwamba hauna hela??[emoji848]
No offence!