Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

Anapenda pesa kama Bank. Hazipiti week mbili anaomba pesa. Yeye zake anatanua sana maisha. Simu anabadilisha kila mara na vitu vya thamani. Kushindana na wenzie kuwa ana boyfriend tajiri. Mimi siyo tajiri. Nimekuwa tu fala nikidhani atathamini mapenzi yangu.

Now its too much. Aende zake kwa kweli. Inatosha sana.

View attachment 2682796

Wakati wewe unatarajia kuonesha upendo mwenzako anatarajia pesa yako ! Ni kama biashara yaani wewe umpe pesa yeye akupe sex! Kama lengo awe mke basi niseme tu hamna malengo yanayofanana.
 
Anapenda pesa kama Bank. Hazipiti week mbili anaomba pesa. Yeye zake anatanua sana maisha. Simu anabadilisha kila mara na vitu vya thamani. Kushindana na wenzie kuwa ana boyfriend tajiri. Mimi siyo tajiri. Nimekuwa tu fala nikidhani atathamini mapenzi yangu.

Now its too much. Aende zake kwa kweli. Inatosha sana.

View attachment 2682796
Wenzetu wanapata wap watu wa hv jaman. Watu tunapauka na shida ah jaman had wivu mi hata nkipewa laki kwa mwez si nngetemea wanaume mate huko nje😂😂
 
Mkuu, mwendelezo wa convo yenu utakuwa umeishaje, nawaza tu hapa.😀

Wanawake wa hivi hawafai, japo naona yeye kaiona 300k ni hela ya mboga tu. She's classic, maisha ya juu, hafikirii kesho yako...
Wabinafsi sana hao watu.Ni sawa tu na kuhonga barmaids wanaporomosha majumba mazuri halafu zuzu unabaki kuchekwa.Vijana washtuke.Uhongaji usio na tija wawaachie wazee/wastaafu wasio na uchungu wa kujijenga kimaisha tena.
 
Hata kama elaanazo bora akampe maskini aneona anauhitaji sio kumpa kiumbe kumbe kinakung'0ng'a
Ukisoma hyo convo "nusu" tuliyowekewa, unaona jamaa wiki iliopita alituma 150k(probably na ya kutolea pia).
Its probable, tangu wanaanza hii safari mwamba alijionesha kua anaeza kumwaga chambi full time any time kwa kias chochote.
So msingi wa mapendo yao ni fedha.
So, huyo mams, yeye anaendeleza walipoishia, but jamaa kapauka katikati ya barabara.
Maana hajatueleza vyote zaidi ya ku complain kwenye pesa sijui na simu mpya.
Ye amepata nini so far?
 
Upo sahihi, kuhonga kunaleta umasikini. Angalau basi awe ni mtu mnatengeneza future, kama sio ni upotevu mkubwa wa mali na muda.
 
Anapenda pesa kama Bank. Hazipiti week mbili anaomba pesa. Yeye zake anatanua sana maisha. Simu anabadilisha kila mara na vitu vya thamani. Kushindana na wenzie kuwa ana boyfriend tajiri. Mimi siyo tajiri. Nimekuwa tu fala nikidhani atathamini mapenzi yangu.

Now its too much. Aende zake kwa kweli. Inatosha sana.

View attachment 2682796
Mpee mpeee mpeee tena
E210905F-E26A-4978-98A5-87B652797C6F.jpeg
 
Ukisoma hyo convo "nusu" tuliyowekewa, unaona jamaa wiki iliopita alituma 150k(probably na ya kutolea pia).
Its probable, tangu wanaanza hii safari mwamba alijionesha kua anaeza kumwaga chambi full time any time kwa kias chochote.
So msingi wa mapendo yao ni fedha.
So, huyo mams, yeye anaendeleza walipoishia, but jamaa kapauka katikati ya barabara.
Maana hajatueleza vyote zaidi ya ku complain kwenye pesa sijui na simu mpya.
Ye amepata nini so far?
K kama ilivyo kwa jina lake😀😀😀
 
Hata kama elaanazo bora akampe maskini aneona anauhitaji sio kumpa kiumbe kumbe kinakung'0ng'a
ANgalia hapa chini maneno ya msela, hapa utaanza kuona basis ya mahusiano yao.
It shows tangu mwanzo jamaa aliamua kua "fala" bila kulazimishwa na mtu ili tu afadhiliwe kimapenz.
Kushindana na wenzie kuwa ana boyfriend tajiri. Mimi siyo tajiri. Nimekuwa tu fala nikidhani atathamini mapenzi yangu.
 
Back
Top Bottom