Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

Mkuu ni made up story, mtu mwenye mshahara wa over 2m net salary gross salary yake ni karibu 5m, huyo hawezi kua na tabia kama hizo unazotaka kuzionyesha hapo anaomba omba 150k.

Hii ni habari ya kupika.
🤣🤣 labda 2m ni Gross.

Nina dada rafiki ana gross ya 1.8m na hana mkopo wa HESLB.
Ila sasaa madeniiii
Ananikopa hadi mie naelipwa afu 1.
Sasa imagine kwa bwana ake anaombaje?
Yule anaishi classic life balaa.. kwenda kula dinner Melia ye kawaida tu.
Mtu unapokea afu3 monthly, lakini unaaishi maisha ya elf 7. Hizo 4 zinatoka wapi?

Ndo hao wa mtoa mada
 
Sawa laki tatu ni pesa ya kupiga kelele iyo dada yangu anaachiwa na mumewe akinuna mume anambembeleza na pesa masheji waishi sana
Itategemea na kipato chake. Kuna mwingine laki tatu ni hela ya vocha, mwingine ni hela ya gambe, mwingine ni mshahara tena wa miezi miwili kwa hiyo inategemea na uwezo wa mtu husika.
 
Wewe Hujawai kutana na kausha damu, ana salary lakini hadi pesa ya chumvi anaomba.
Nakubali mkuu ila sitaki kuamini mtu anakuja gross salary ya karibu 5M awe na tabia za kiswahili hivyo kuomba omba 150k kila mara, haiingii akilini kabisa.

Kwa hapa Tanzania mwanamke anakuja 5M gross salary, kwanza atakua matured ama disciplined sana.
 
Anapenda pesa kama Bank. Hazipiti week mbili anaomba pesa. Yeye zake anatanua sana maisha. Simu anabadilisha kila mara na vitu vya thamani. Kushindana na wenzie kuwa ana boyfriend tajiri. Mimi siyo tajiri. Nimekuwa tu fala nikidhani atathamini mapenzi yangu.

Now its too much. Aende zake kwa kweli. Inatosha sana.

View attachment 2682796
😁😆😆😄😄
 
🤣🤣 labda 2m ni Gross.

Nina dada rafiki ana gross ya 1.8m na hana mkopo wa HESLB.
Ila sasaa madeniiii
Ananikopa hadi mie naelipwa afu 1.
Sasa imagine kwa bwana ake anaombaje?
Yule anaishi classic life balaa.. kwenda kula dinner Melia ye kawaida tu.
Mtu unapokea afu3 monthly, lakini unaaishi maisha ya elf 7. Hizo 4 zinatoka wapi?

Ndo hao wa mtoa mada
Kama 2m ni gross naweza kukubali maana hapo net ni 1.something M.
 
Itategemea na kipato chake. Kuna mwingine laki tatu ni hela ya vocha, mwingine ni hela ya gambe, mwingine ni mshahara tena wa miezi miwili kwa hiyo inategemea na uwezo wa mtu husika.
Sasa ndio kila mtu a Hague saizi yake unaona viatu kila mtu ana mguu wake mtoto wako akivaa kiatu chako kina muenea? Unapo tongoza ni sawa u ajaribisha kiatu kama kina kutosha ukiona kikubwa waachie wengine tule kwa macho mfano mm humu siwezi kutoka na Cute Wife she is very expensive nikijifos nitakuwa masikin
 
Classic services ndio zikoje?
Mbona nasikia eti classic chicks hata viuno hawavijui kivile

Si eti e mshamba_hachekwi
Wewe classic achana nao kabisa nilibahatika kuonewa huruma chumban kuingia kawasha mishumaa ya mapenzi chumba kinanukia af sasa mnaenda Pole pole ham hamchoki unaweza kuta siku nzima mnafanya ila nilipewa mara moja hakunipa tena sio ninyi changanyikine mnatukimbiza mputa puta
 
Chukua hata mwanamke wa elf 10 kumi utelezi ni ule ule Hawa classic utashindwa nunua hata kiwanja hawana jipya wengi wanatema fish fish
 
Wewe classic achana nao kabisa nilibahatika kuonewa huruma chumban kuingia kawasha mishumaa ya mapenzi chumba kinanukia af sasa mnaenda Pole pole ham hamchoki unaweza kuta siku nzima mnafanya ila nilipewa mara moja hakunipa tena sio ninyi changanyikine mnatukimbiza mputa puta
Mkuu kwa hiyo mie changanyikeni 😂
 
Anapenda pesa kama Bank. Hazipiti week mbili anaomba pesa. Yeye zake anatanua sana maisha. Simu anabadilisha kila mara na vitu vya thamani. Kushindana na wenzie kuwa ana boyfriend tajiri. Mimi siyo tajiri. Nimekuwa tu fala nikidhani atathamini mapenzi yangu.

Now its too much. Aende zake kwa kweli. Inatosha sana.

View attachment 2682796
Tuma pesa kijana, kuja kulialia na kumuexpose fatty huku hakuta saidia.
Unamlaumu fatty bure, inaonekana ulishawahi tuma hiyo amount ndio maana akawa na uhakika kuwa unaweza kutuma bila shaka maana hawa dada zetu hufanya vile ambavyo umewabrand kufanya so simply wewe ndo umeilea hiyo tabia.
 
Back
Top Bottom